Kiumbe hatari kinachoishi katika msitu wa Amazon
--Kinaitwa MAPINGUARI
Huyu ndio mlinzi wa msitu wa AMAZON.
Habari zake ni hatari
Soma habari zake kupitia Pinned Post
Ujenzi wa zahanati, vituo vya afya na hospitali karibu zaidi na wananchi unaendelea kutupa faraja kubwa unavyogusa maisha yao. Tunaendelea na kazi hizi njema katika kila kona ya nchi yetu.
Baada ya kuifungua rasmi Hospitali ya Wilaya ya Nkasi nikiwa ziarani mkoani Rukwa, nilipata wasaa wa kutembea wodini na kusikiliza kisa cha mama na mwanaye, na namna ujenzi wa zahanati na Hospitali ya Wilaya ulivyochangia katika kuokoa maisha ya mtoto.
Mwanaume,
Kuambiwa NAKUPENDA pekee kwa maneno ni hisia nzuri.
โ Mwanaume
Kupokea ujumbe wa NAKUPENDA kunaleta furaha ya muda mfupi.
Lakini heshima ndio msingi wa furaha ya kudumu.
Heshima hujenga:
. Kuaminiana.
. Uelewano.
. Ushirikiano.
Vitu hivi ni muhimu zaidi ya:
. Maneno matamu.
. Zawadi.
. Ahadi.
Thamini heshima, jenga uhusiano imara, na furaha ya kweli itafuata.
@SimbaSCTanzania Hivi Simba sisi ni wakumlilia Kibu kweli?!! Kama kavunja mkataba kinyume na taratibu ashtakiwe na alipe fedha na fidia
Mchezaji kafunga goli moja ndani ya miezi tisa mnamtolea na press release ๐ฎ