@ndembo255 Yule mbunge aliweka nyimbo ya kikristo pia yeye ni muislamu,,, na ninamjua Hadi familia Yao yote ni waislamu Sasa unasemaje,, kwamba muislamu aruhusiwi kushikiana na wakristo๐ฉ
Wakuu wa wilaya Sasa hivi wanashindana kusema,,, Mimi nimehakikisha hakuna mtu aliyefurukita,,, bumbavuuu,,, mnajipendekeza kwa nywinywii nywiiii๐๐