@Sativa255@Sativa255
Naona media uchwara zimepata vichwa vya kuandika kwa taarifa zao
"Waandamanaji wapewa 10,000/= hadi 50,000/= ili waandamane"๐ฎ๐ฎ
@Sativa255@sativa255
Yani report imekuja na mambo ya ajabu sana
Ety waandamanaji walilipwa.... swali na nani?
Walikuwa na silaha....... Je yule mama nadhan mmeshamfahamu alikuwa na silaha ipi?
Ii nchi inahitaji watu smart wa kuweza kupambanua mambo eg. @HecheJohn