👉🏿Nimekumiss baby
👉🏿nimekumiss pia
Story za Waongo wawili wakidanganyana mmoja akiwa anataka HELA ya mwenzie, Mwingine huyu akiwa anamendea kuchakata MBUSUSU 😂💔🚮
Huyu mwanamke sijui alimfanya nini huyu mwanangu🤒💔, mwanangu ni swala tano na sunna anafunga, ila nimemuuliza kama anaweza kumsamehe shemeji, akaniambia kuliko kurudiana nae ni bora afuge Nguruwe🤒. Ndio tumekuja kuulizia vifaranga💔.
Wanaume linapokuja swala la kuvunja mahusiano kama bado game haujaijua lazima ikutese tofauti kabisa na mwanamke.
For ladies huwa always wapo targeted meaning that una date nae ila kuna msululu wa watu wamtongoza especially kama ni mzuri.
So the moment unaachana nae anachagua sub moja anaishi nayo chap, tena kama hana akili ndio anadate na mtu akukomoe.
For men kama haukuwa na option inaweza kukutesa sana sana maana unakuwa unamiss mambo mengi pengine ulikuwa umemzoea demu wako na ma charity ( hongo) unayokuwa umemfanyia.
Kama unaona mama inazingua au imeanza mabadiliko simply fanya mambo kadhaa.
I. Unsave namba yaani isiwe na jina lolote, usivie ata statuses zake, chats ziache ili ata akikucheki usisumbuke kujua ni nani. (Kufuta huwa sio option yangu)
Futa hata ma picha yatakayokupa emotions.
II. Usiwe unatuma long text kujieleza sana take easy Improve yourself kabla ya kutafuta mama nyingine.
III. Avoid kumcheki kabisa yani ata akikucheki iwe yeye sio wewe umcheki afu convo iwe fupi usijieleze hovyo
IV. Kama mnasoma pamoja vibe kama kawaida yaani asione upo kinyonge atakama unaumia.
V. Get money.
VI. Soma vizuri namba moja.
BONUS.
USIKARIRI NAMBA YA DEMU WAKO HATAKAMA UNAMPENDA KIASI GANI,
Tunakariri namba ya mke sio mpenzi wa kawaida, ukiikalili inakuwa ngumu kumuacha trust me lazima uta simp tu.
Manzi anashangaa how tuko talking stage.
Na its been three days since aone simu/sms yangu.
Dada mie nina majukumu, kuna watu wanaonitegemea, muda mwingine nakuwa busy nachoka akili mpaka nasahau kabisa kama nilichukua namba ya mtu.
Kama unatafta mwanaume wa kukumbusha how beautiful you are kila asubuhi, nenda kwa ma chawa wa siasa wanaijua hiyo kazi vizuri.
Nimekuja kugundua hata upende mdem aje she always keeps her options open, akipata someone better than you anasonga. Being emotionally attached to a chile inaweza ku fuck up mbaya no matter how well behaved she is
Mwanaume usikubali kushusha thamani yako kwa ajili ya Sieix.
Bro usivumilie Dis-respect kwa ajili ya Sex.
Kaka usichague Sex kuliko heshima yako mwenyewe.
Kumbuka kwamba,
Sex inadumu kwa dakika chache tu, Lakini heshima yako mwenyewe inadumu maisha yote.
Kukubali kuvunjiwa heshima kwa sababu tu manzi anakupa K ni upuuzi na hufanywa na wanaume dhaifu.
Kummer isiwe chanzo cha kufanya udharaulike.
Mwanaume usichoke kufukuzia maisha ya ndoto zako.
Acha kufikiria tu kuhusu maisha mazuri, unapaswa kwenda nje na kuyafuatilia kwa vitendo.
Hakuna visingizio.
Hakuna kitu kinachokuja kwa urahisi kwa mwanaume, kila kitu kinapatikana kwa jasho na damu.
Kama mwanaume, jikite daima kuwa katika harakati, ukifanya vitu kwa akili ya mafanikio wakati wowote uliopo, ndivyo unavyoongeza thamani.
Wewe pekee ndiye unayeweza kuunda thamani yako, hakuna mtu mwingine atakayekufanyia hivyo.
Hakuna mtu anayekuja kukukomboa.
Ni wewe Vs dunia.
Hata wakati inaonekana ni jambo lisilowezekana, endelea kupambana.
Hakuna hali inayodumu milele, endelea kupambana tu.
Kamwe usikate tamaa katika maisha.
Kamwe usisimame eneo moja, hiyo inaitwa kudorora.
Hakuna kinachoongezeka katika mazingira yaliyosimama, ukuaji unatokana na harakati za kila siku.
Na kamwe usichoke, mwanaume ni kama punda kazi, ndiyo mzigo wa ukiume.
Wewe ni sawa na mashine, au mashine inaishiwa nguvu kwa kutumika au inatoa kutu kwa kutokuwa na matumizi, uchaguzi daima ni wako, kuzeeka ukifuatilia ndoto zako au kuzeeka ukisubiri tu.
Mwanaume hupumzika siku anapokufa.
Kwanini tunamhukumu sana Single Mama bila kumjadili Mwanaume mwenzetu huenda alikimbia majukumu yake? Kwanini tunawapa adhabu kali kuamini usingo ni makosa yao pekee?