Wananchi wakishafikia hatua hii na bado ukaziba masikio na kutumia nguvu ya dola kuwanyamazisha basi sii salama kwa Taifa maana hawarudi nyuma unatengeneza vikosi vya kigaidi
Anyway
Tutaelewana Tu
Tukutane saba saba
‼️TAARIFA KWA UMMA‼️
Watu waliojitambulisha kuwa ni police wamefika nyumbani kwa Katibu wa Kanda ya Serengeti Mhe. @jacksonmnyawam2 wamemchukuwa na kuondoka nae wanasema walikuwa wanamhitaji kituo cha police Shinyanga mmoja wa Polisi hao amejitambulisha kwa jina la Masoud
Wamemchukuwa muda wa saa 21:08 akiwa nje ya geti lake wakati anataka kuingiza gari lake ndani nilikuwa naongea nae akiwa ananipa mrejesho wa uchaguzi wa Mkoa wa Shinyanga na ratiba ya chama ya kesho ya Mkoa wa Simiyu.
Lucas Ngoto @lucas_ngoto
Mwenyekiti wa Kanda Serengeti.
@ajirapsrs Why are you doing this to us, I went two interviews one I went to oral, up to date I'm at home with no response, today you are calling me for another interview for the same subjects. What do you mean? @ajirapsrs