Hii ni taasisi iliyo anzishwa mwaka 2007 lakini imekua hadi kufikia top 4 ya vyuo bora Tanzania, na kwa sasa ndio chuo kinaongoza kutoa wafanya kazi bora katika kila sekta hapa nchini. GPA zao hazitisha kama watu wa mwalimu nyerere ila uwezo wao unatisha kama Einstein🙌
Allan Okello 🇺🇬 akiwa na Vipers Sc
Uganda Premier League
🏟️ Mechi: 5️⃣8️⃣
⚽️ Mabao: 2️⃣4️⃣
🅰️ Assists: 1️⃣3️⃣
Uganda Cup
⚽️ Mabao: 4️⃣
🅰️ Assists: 2️⃣
✅ Amewatumikia miaka miwili na nusu
Nimeona JANA GIRISHONI anatupigia kelele za ujenzi wa SGR, BANDARI na takataka zingine na kuhimiza watanzania watulie.
Kama kujenga hayo ndio iwe sababu ya kutulia basi mpaka leo tusingekuwa na UHURU maana MKOLONI MWEUPE alijenga RELI, VIWANDA, BARABARA na miundombinu nyingi kwa muda mfupi ila bado wazee wetu walidai UHURU.
Tulipofika sasa hayo yote mnayotupigia kelele mtafanya hayana maana yeyote zaidi ya HAKI. Tunahitaji HAKI mengine hayo sio story zetu.
Ninawashukuru sana wananchi wa Nyawilimilwa, Geita.
Mmeendelea kuonesha ukubwa, uimara, umuhimu na kukubalika kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nimefurahi kusikia kutoka kwenu kwamba Oktoba 29 mtawachagua wagombea wa CCM. Ahsanteni sana na Mwenyezi Mungu awabariki.
(Day 44/60 ya kampeni za CCM)
MASUMBWE LEO
Umati wa Wananchi wa Masumbwe Mbogwe Mkoani Geita umejitokeza kwa wingi katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), eneo la Masumbwe ambapo wamesema kilichobaki kwao ni kusubiri siku ya Oktoba 29, 2025 kwenda kutiki kwa kishindo kwa Dkt. Samia na CCM kwani mpaka sasa hawajaona mpinzani wao.
#KigogoMediaUpdates
(✍️ na mchambuzi wetu)
CRDB NI BANK YA HOVYO NA INATUMIKA KUFANYA WIZI WA KIHISTORIA NCHINI...
Haijawahi kutokea duniani bank ikafanya wanachokifanya CRDB. Haiwezekani popote duniani bank kubwa ya kiwango cha CRDB ikafanya walichokifanya na wakaona ni jambo dogo na la kawaida tu.
Majid Nsekela anaingia kwenye historia ya kuwa mkurugenzi wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye hii bank na ameshiriki kuipeleka shimoni kwa kuwa kuwa taarifa anashiriki kufanya wizi mkubwa sana kwa kisingizio cha kubadili mfumo.
Wakati CRDB inafanya uhuni wanaoufanya na wateja wake wanahangaika yeye Majid Ndekela alikuwa weekend Nairobi -Kenya anafanya umalaya na Kigogo Media ilimnasa akiwa kwenye ndege ya KQ 484 kutoka Nairobi kuja Dar Es Salaam saa 12:18 mchana wa tarehe 7 Septemba 2025 akiwa na mtu anayefanya naye umalaya umalaya.
Kwa taarifa tulizona9 ni kuwa kampeni za CCM zilizochangiwa mabilioni ya hela zimejaa malalamiko watu wanakosa mpaka hela ya kuweka mafuta kwenya magari na wanashindia kula mapera na mabumunda huku wakiambiwa hela hakuna zimekwama CRDB na hii ni kazi ya Majid Ndesela na kikundi cha watu wezi waliotafuna yale mamilioni waliyochangiwa CCM.
Huu ni mchezo unaofanywa na watu wachache sana wakishirikiana na Majid Nsekela na mwisho wa siku yale mabilioni yaliyochangiwa CCM mtakuja kuambiwa yameyeyuka na hayapo tena na yamepotea kweny mfumo wakati CRDB wanabadilisha mfumo!.
Majid Nsekela kama mkuu wa hii bank anachoweza yeye ni kushindana kula vitumbua tu lakini toka amekuwa mkuu wa hii bank ni kama imezidi kuwa ya hovyo na imeakisi vizuri sana lile jina lake la benki ya wakulima!.
Wateja wa CRDB kaeni mkijua kuwa hapa hakuna cha kubadili mfumo wala nini huu ni mchongo wa kupiga mihela ya wateja na kuna kundi la watu wame target mihela ya CCM na wamesharuka nayo ndiyo maana kwenye kampeni huko ni mwendo ya kula mabumunda tu na mapera maana hela hakuna wakati wana mabilioni yalichangwa na yamekwama kwenye mfumo!..
Bank hii chini ya Majid Nsekela ndiyo tunaona taarifa za watu na miamala yao inasambaa mitaani na kwenye mitandao, yaani kwa kifupi usalama wa hela za wateja ulishakuwa haupo muda mrefu sana lakini lilikuwa ni suala la muda tu kufikia kufanya hiki wanachofanya sasa!
Kama wamethubutu kuvuruga mfumo na kukwapua mihela ya CCM iliyochangwa hawashindwi kukwapua vijihela vyenu kwa kisingizio cha eti wamebadi mfumo! Yaani kubadili mfumo kunahusiana nini na hela kutoonekana kwenye akaunti za wateja? Yaani ni sawa na kusema unabadili fenicha ndani mwako sasa kunahusiana nini na milango au madirisha kutokufunguka? Au CRDB wanafanya watu hawana akili eeh?
Kama una akaunti CRDB nakushauri nenda katoe hela zako tafuta bank nyingine ukaweke na kutunza hela zako huko hii bank chini ya Nsekela imekuwa ya kihuni na ya hovyo sana na msipokuwa makini mtalizwa na hakuna kitu mtafanya!
Ukiona mkurugenzi wa taasisi kama bank kubwa hivi yuko bize na mambo ya kula vitumbua na kufanya umalaya badala ya kazi basi jua tu hela zenu kuna siku mtaambiwa zimepotea! Lakini kwa hili wanatesa watu kwa mambo yao ya kimchongo kutaka kukwapua mihela ya CCM kwa kisingizio eti mfumo unabadilishwa !
Hii siyo benki na siyo sehemu sahihi ya kutunza hela zenu! Narudia CRDB chini ya Majid Nsekela siyo bank ni kitu cha hivyo sana kuwahi kutokea!..
MSIJE KUSEMA HATUJAWAAMBIA HAYA !!.
#KigogoMediaUpdates
It’s simply incredible how one man sat down to think about the future of Tanzania. 🇹🇿✨
When you walk around Dodoma, you quickly realize this is not just any city, it is the vision of the late President Dr. John Pombe Joseph Magufuli, a leader who believed in progress and in preparing a brighter future for generations to come.
Dr. Magufuli carried the bold idea of shifting Tanzania’s capital away from Dar es Salaam and developing Dodoma into a modern administrative hub.
A city that is not only central geographically but also strategically placed for growth, unity and accessibility.
Today, as I toured around, I could see some of the amazing facilities and infrastructure that stand as a testimony to his vision.
From government buildings to new roads and public spaces, everything speaks of a leader who dreamed big and worked tirelessly to make it real.
May his legacies live on forever. His leadership, courage, and determination remain engraved in the heart of Tanzania and Africa at large. ❤️
#VisitTanzania
#VisitDodoma
#MagufuliLegacy