nilipoanza kazi hii sikuwahi kufikiria kuifanya kwa ukubwa huu ninaoufanya sasa,kadri siku zilivyosogea nilijikuta naipenda na sitamani kuiacha,nilishauriwa na watu wengi kuacha kwa sababu mbali mbali,ila sikuwahi kusema nitaacha.nilitaka kujua zaid.GOD DID.kwenda mbali zaidi๐
Nyumba yako imeliwa na fangasi?/magadi yamemomonyoa ukuta,wa nyumba yako! Fensi?
Angalia hii clip venye huwa tunafanya,tunahakikisha kabisa kutoa mabaki yote ya vimelea vya fangasi kwa kukwangua ukuta vilivyo,tunapiga gundi moto dawa ya fangasi,hautaona tena.
Karibu tukuhudumie!
Moulding๐ค๐Tv showcase ๐
Unahitaji kukarabati Nyumba yako niko hapa #doctorhouse unahitaji Tv showcase? modern Tv cabinet?skimming?finishing? Nyumba nzima,fens uliyeko mkoani usijali nafika popote,ulieko nje ya Tz usijali hata huko nafika.
Just retweet kwaajil ya wengi๐
Good morning kwa side hii ๐
Unauhitaji wa parving?
Parving zako zimechoka?
Unahitaji zilete muonekano mzuri wa kuvutia?
Unataka kuzibadilisha rangi?
DOCTOR wa Nyumba niko hapa.popote tunafika kwa gharama nafuu.HAPA NI DODOMA/swaswa
WhtsApp No:0744024107