โNgoma zetu za kienyeji unakuta wacheza ngoma wamevaa sketi fupi ya majani na sehemu kubwa ya mwili iko wazi, lakini Wasanii wa siku hizi wakivaa sketi fupi tunapiga kelele hatuna uvumilivu, mimi nadhani tujue miziki hii tunaiuzia dunia na hiki kitu ni biasharaโ- Prof. Maghembe