@millardayo Je kulikua na tangazo la Tanesco juu ya kukata uememe? Nakama.halikwepo ilikuaje umemenukatike na Padre avamiwe! Do you see the connection?! Baada ya hapo Tanesco walitoa pole kwa wateja wao kwa kukata uememe kwa dharura? Pia uchunguzi w hao walio mvamia Father Kitima umefika wp?
@KenyanSays Chalamila tunategemea utatusaidia kuhusu uchunguzi wa hao wasiojulikana je wamejuliakana ,,Siyo Father kitima mumwache njia panda na mkifikiri wa Tanzania tutasahau. Tendeni haki haki huzaa Amani ,,hizi braha braha ni sawa kumwaga petrol kwa moto ,,huu ni wakat wa ukweli na uwaz
@MariaSTsehai Nchi hii ikija kurud yaani WAHUNI wote tutawapiga ndani na itakua historia kwa Dunia na kwa WATANZANIA ,,,naiona hiyo siku ikija ambayo hata ABDULI na mama yake hawataamini. Ipo inakuja
@PolepoleHumph @mtanganyika__ Yaani hiyo siku ya hukumu sitalala nitafanya sherehe,,maana huku dar mwendokasi ishaanza kufa! Wamejiwekea utaratibu wa card ambazo wanajua watu wengi hawana Sasa wanatembea na card zao alafu wanakutoza book badala ya 750,Sasa hiyo 250 wanaweka mfukoni mara wateja 2000
@mtanganyika__ @PolepoleHumph Katiba ipi? Ni hii aliyoikanyaga mama Yako ?? Kama ndo hii mbona imeshaanza kukanyangwa na mama Yako ndo maana tunadai Reforms.Madako Yako huna akili
@Jambotv_ Mwenye namba za Mzee malisa tafadhali,,huyu Mzee akate rufaa sisi wa Tanzania tupo nyuma yake waliye karibu nae wamwambie tpo tayari kuchangia tafadhali tupo seriouse ,,wakaribu wamwambie ajtokeze atpe namba yake pia @Mwabuk2Boniface muungeni mkono pia wekeni namba tumsuport.
@swalemusa11@HecheJohn Tunaamini kwasababu tulishabaini mara kadhaa kua marehemu majina yao yamejutikeza kwenye Daftari la mpiga kura kumbe ni NIDA😭😭😭😭wasubiri hukumu ya Mungu kwa kuwachezea marehemu.
@PaschalDaniel13@HecheJohn Hivyo hivyo yupo kwa faida yetu ue na akili na kichwa chako usituoneshe kua hakina ubongo kina matope. Asante kawambie watoto wenzio
@ItsKamala NIDA👉CCM👉TUME YA UCHAGUZI,,unampigia kura mtu bila kutaka tupige usipige ufe usife kwakua una NIDA ww nimpiga kura iliyehai. Alafu tutegemee makaanya mawe yasiibwe na wa HUNI huyu ROSTAM AZIZI na KIKWETE wanapaswa kuona aibu. Asante😭😭😭TANZANIA NIYETU SOTE🇹🇿
@millardayo NIDA 👉CCM👉TUME YA UCHAGUZI🇹🇿🇹🇿daaaah🇹🇿😭😭ndiyo maana shangazi yangu alikufa miaka 20 iliyopita lakini alionekana kwenye Daftari la mpiga kura mara 2 niliwai jiuliza kivipi? Kumbe ndo uhuni huu unatumika 🤔😭😭😭marehemu anapiga kura aisee yaani kwakua unanida tupige uspge ✅😂