@ayo_shangwe Pole Sana ila Huwezi ukamwoona nyoka aina Ya black mamba pale kwenye kichaka na bado ukasema napita Tu. Utang’atwa lakini pia Nakubaliana nawe kuwa kila mtu acheze mpira wake. Dakika Ya mwisho utapita na umeng’atwa au hujang’atwa; itajulikana.
We are excited to present a wealth of information that delves deeply into the rich tapestry of their cultures and traditions. Additionally, we will explore the various challenges they encounter, offering insightful perspectives and effective solutions to address these issues.
Wamasai ni kabila la watu wanaopatikana Kenya na Tanzania. Kwa sababu ya mila zao, mavazi tofauti na kuishi karibu na mbuga nyingi za Afrika Mashariki, ni miongoni mwa makabila yanayojulikana zaidi hata nje ya Afrika.
The Maasai are an ethnic group found in Kenya and Tanzania. Because of their traditions, distinctive costumes and living near many East African parks, they are among the most well-known tribes even outside of Africa.
🌍 Excited to be part of Matudumunye, a group of Maasai women saying "Let’s Wake Up!" Together, we’ll tackle climate change, food shortages, and financial barriers. Let’s unite for a sustainable and equitable future! 💪🌿 #EmpowerWomen#Sustainability#Matudumunye
@MSalimu Jamani katika nyakati za kufurahi ni pale chama cha Upinzani Kama CDM kinajaribiwa kwani kufunika kombe wakati mambo hayako sawa ndo Tatizo kubwa. Uhalisia ni na ni swala la muda tu kwani hata kijani nao watapita kwenye moto Kama huu wa CDM na ndo itakuwa funga kazi
Cows are part of the Earth.
They always have been.
They eat grass, poop it back out, and it nourishes the soil with the following:
Nitrogen (N), Phosphorus (P), Potassium (K), Calcium (Ca), Magnesium (Mg), Sulfur (S), and trace elements like Zinc (Zn) and Copper (Cu).
Their urine contains:
Urea (CH₄N₂O), Ammonia (NH₃), Sodium (Na) and Chlorides (Cl), and Sulfur (S).
Bovaer is trying to make you believe cows are bad for the planet and that they need to be drugged.
Potentially screwing up 2 million years of the cow's evolution and natural Earth cycles.
Watch:
Zaidi ya 90% ya NGOs Tanzania sio “sustainable”
Jana nilipata fursa kushiriki mjadala wa namna ya kuzifanya NGOs kuwa stahimilivu na kuwa na uwezo wa kujitegemea kama msaada wa “donors” ukiondoka, katika CSO week iliyofanyika Arusha.
Hali ya sasa ya NGOs Tanzania
1. Mwaka 2023, takribani NGOs 1,368 zilipata fedha kiasi cha TZS 2.6 trillion
2. Kati ya hizo, 96% ilitokana na wahisani (donors), 0.32% kutoka kwenye uwekezaji, 0.27% ada ya wanachama, n.k
3. Hii maana yake, ukikata fedha za msaada, zaidi ya 90% ya NGOs zinafunga ofisi, kama hazitapa fedha kutoka sehemu nyingine
Tufanye nini kama nchi?
1. Kufanya utekelezaji kikamilifu wa mkakati wa kuzifanya NGOs kuwa “sustainable”. Upo lkn nahisi utekelezaji wake unahitaji kufanyiwa kazi zaidi. (Naiomba hii kazi 😉)
2. Kuweka sera ya uanzishwaji wa makampuni ya kijamii (social enterprises), kama vile kuwa na nafuu ya kodi, kwa kuwa wanafanya zaidi kazi za ki-jamii
3. Kuwa na “National NGOs Sustainability Fund”, tutoe 1% ya fedha za 10% za halmashauri tuweke humo. Huo mfuko usimamiwe na “indepdendent fund manager” (Naomba hii kazi bure 😉).
Tufanye nini kama NGOs (at institutional level)
HATUA YA KWANZA
1. Fanya tathmini ya vyanzo vyako (sustainability risk analysis)
2. Weka malengo ya kuwa “sustainable” baada ya muda flani. Mfano, “By 2030, tuwe na fedha za ndani 100% ya bajeti ya taasisi”.
3. Fanya tathmini ya mapungufu ya taasisi ili kujua what needs to be done kuwa “sustainable” (Sustainability Readiness analysis)
HATUA YA PILI
1. Fanya kikao cha bodi na management, kupata “buy-in”
2. Anzisha “social enterprise” kama subsidiary ya NGO yako. Ili uweze ku “ring-fence” assets na liabilities za taasisi mbili
3. Andaa sustainability strategy
4. Badilisha watu wako “mindset” zao, kutoka kwenye “donor mentality”
5. Weka “advisory board” ya social enterprise yenye watu wenye weledi huu
6. Tenga fedha kila mwaka kufanya uwekezaji kwenye masoko ya fedha
6. “Commercialize” elimu na uzoefu wenu na mtoe huduma kama ushauri, mafunzo, data services, n.k
FEDHA ZA MTAJI ZITATOKA WAPI?
1. Omba “special request” ya funds ili kufanya haya
2. Tumia “exchange rate gain”. kwenye fedha mlizopewa na donors in USD. Mwaka huu 2024, kuanzia Jan-Sept, TZS impoteza 8%+ vs USD.
3. Anzisha “endowment fund”
4. Omba fedha toka “FCS Resilience Fund” kama unakidhi vigezo
“If you always do what you’ve always done, you’ll always get what you’ve always got.” - Henry Ford