Business Development Service Provider called Jiuzie Company LTD located in Moshi Kilimanjaro Tanzania.We help to set up your business legally, help it to grow.
@godbless_lema Sasa mbona hawamtaji @mrisho wanasema tuu mama INAMAANA 2025 hawamtaki Mrisho wanamtaka Mama pekee...halafu huyu jamaa mbona nilimuona relini kwenye mkutano na wenzake na mvua imewapiga Ila walikuwa na vibe Kali kinoma anyway Mgambo atafute kazi.
@MarekaMalili Kitengo Cha propaganda kinazingua Sana CCM watu wanaoshindwa kuwa na content wanaaibisha chama Mbowe amewapiga KO akitazwamwa na watz wote na dunia Live, Sasa hii ujinga inaonesha wasambazaji Ni Bumunda sana
Hakuna alieyewafanyia ubaya wamasai #Zanzibar wako huru kabisa. Lakini hatuwezi kukubali vurugu na fujo na uvunjaji wa amani eti kwa sababu ya kikundi kidogo cha wahuni hata wakiwa Wazenji.
They should be dealt with to the full extent of the law.
@IreneMish55 NGOJA NIKUSANUE MAPEMAAA..
UMUHIMU WA KU SAVE HATA KAMA UNA KIPATO KIDOGO SANA.
IPO HIVI...
Mwaka 1 Una Siku 365.
Kwahiyo Mwaka Huu Wa #2024
Ungesema Kila Siku Uwe Unahifadhi (Save)
Tsh 1000/= Mwisho wa mwaka Utakuwa Na Tsh. 365,000/=
Tafuta pesa
.....
https://t.co/tYtUyBo95c
6】Asilimia kubwa ya muda wao wanatumia kufanya mambo yanayo jenga
7】Wanaambatana na watu chanya
8】Wanapenda kujifunza mambo mapya
9】Wanafanya kazi kwa bidii [wanajituma]
10】Hawafuati mkumbo wa wengi [sio bendera fuata Upepo)]
Kwa hisani ya Miriam....
²】Wame tengeneza mipango itakayo wawezesha kutimiza malengo yao
3】Hawaishi kwa kuangalia leo, Wanaishi kwa kuangalia leo na kesho yao
4】Si wepesi wa kukata au kukatishwa tamaa
5】Wanafanya maamuzi magumu na makini kwa mustakabali wa maisha yao ....
Duniani kuna aina mbili za watu Aina ya kwanza ni ya watu walio Amua kufanikiwa;
Aina ya pili ni ya watu walioamua kuwasindikiza watu walioamua kufanikiwa;
Sifa za watu walioamua kufanikiwa.....
¹】Wana malengo ya muda mrefu na muda mfupi yalioandikwa