Tumia tangawizi ili kulainisha chakula tumboni..
Tangawizi ina antioxidants nyingi yenye nguvu na husaidia kupunguza maumivu ya tumbo, kichefuchefu, na kupambana na kuvimbiwa.
Itumie katika vyakula na vinywaji vyako lakini epuka ikiwa una vidonda vya tumbo.
Unaweza hata kunywa tangawizi safi kama mimi hufanya mara kwa mara.
SHARE FOR GOOD HEALTHY..
@ayubu_madenge Ukiwa shabiki wa kolo anaiona timu yake kama Man city sasa ngoja wakutane wao kwa wao wanaoina timu yao kama Buyern sasa ngoja timu iende uwanjani ndio utajua ukweli