There are reports circulating about the potential design and features of the upcoming OnePlus 13, though none of these details have been officially confirmed. Early leaks and speculation suggest a glimpse of what the device might offer
#OnePlus13#Androidcommunity#TechNews
Wanasanyansi kutoka Chuo cha Shanghai wameonyesha disc mpya ya 3D nanoscale optional disc yenye ukubwa sawa na DVD au Blu-Ray Disc. Disc hii imeweka rekodi ya kuwa disc ambayo inaweza kuhifadhi data nyingi.
Disc hiyo inatumia teknolojia mpya ambayo inaweza kuhifadhi Petabits 1.6 za data ambazo ni sawa na zaidi ya GB 200,000. CD hiyo ina uwezo wa kuhifadhi movie 14,285 ambazo zina urefu wa masaa 2 katika format ya 4K. hapo ni endapo kama tukikadiria kila movie moya ya 4K ina wastani wa size ya GB 14.
Siri kubwa ya 3D optical storage hii inaweza kuandika na kusoma data katika matabaka 100, hivyo inakuwa na nafasi kubwa ya kuhifadhi data nyingi kuliko Blu-Rays na DVD. Data zinaandikwa katika sehemu ndogo sana yenye ukubwa wa nanometers 54 na ndogo kuliko ukubwa wa wavelength ya mwanga unaoweza kuonekana kwa macho.
Pia kutengeneza Disc hii kwa teknolojia ya sasa unaweza kutengeneza moja ndani ya dakika 6. Hii ni revolution kubwa na itasaidia sana kuhifadhi data nyingi katika kifaa kidogo. Mfano disc moja kuwa na uwezo wa kuhifadhi data ambazo zingehifadhi kwa kutumia external hard disc 100 mpaka 200.
Google wamepoteza zaidi ya $70 billion ndani ya siku 1 kwenye soko la hisa, hii imetokana na ule utani kwamba Google AI (Bard & Gemini) ni janjajanja haiwezi hata kutengeneza picha ya mtu wenye asili ya kizungu.
Elon Musk alishikilia bango 😀
Source: New York Post
Samsung officially announces the Galaxy Ring!
• Ceramic Black, Platinum Silver, and Gold
• Available in sizes from 5 to 13
• Heart rate sensor
• Support for a new Samsung Health feature called “My Vitality Score”
🗓️ Launch expected in July
Here’s our first official looks at OnePlus Watch 2!
• Upto 100-hour battery life
• Stainless steel chassis
• Sapphire Crystal watch face
• Black Steel & Radiant Steel color variants
🗓️ Launch is scheduled for Feb 26 at MWC 2024
OnePlus Watch 2 launching on February 26 at MWC!
• 1.43" AMOLED Display
• Qualcomm Snapdragon W5 Gen 1
• Google WearOS 4
• 1GB RAM, 4GB storage
• Stainless steel build
• Plain rubber straps
• Two colour options (straps): black and white
🎧Bose has released Ultra Open Earbuds (fully open headphones)!
• Unlike in-ear headphones, they are attached to the ear with a flexible silicone-coated stem
• The headphones are great for runners, cyclists and other people who need increased control over the environment
Samsung Galaxy Fit 3!
• 1.61-inch AMOLED display
• Runs on RTOS
• Over 100 exercises support
• Heart Rate Monitoring
• Blood oxygen Tracking
• Sleep tracking
• 21 days battery life
• 5ATM & IP68 certified
• Dark Gray, Prism Crush White & Pink Gold color variants