A platform that strengthen coordination of MHH stakeholders to enhance Menstrual hygiene awareness, access to safe material and facilities for women and girls
Hedhi ni tunu na msingi wa afya, dhamiria kuwekeza katika nyanja zote"
Kutoea mkoani Kigoma Kilele cha maadhimisho ya siku ya hedhi duniani kikienda sambamba na mbio za hisani zilizo ongozwa na mke wa makamu wa raisi Tanzania Mama phillip mpango.
#MenstrualHygieneDay
Hedhi Salama inamaanisha nini kwako? Kwetu sisi inamaanisha Afya, heshima na thamani. Paza sauti kupinga mila na desturi potofu kuhusu hedhi salama.
#WeAreCommited
Jipatie copy ya gazeti la @TheCitizenTz la leo kuona utafiti uliofanywa na @MsichanaUwezo kuhusiana na suala la Pedi Bila Kodi ili kupata sauti kutoka kwa wadau mbalimbali juu ya umuhimu wa kuondolewa kwa kodi kwenye bidhaa za pedi. Pedi Bila Kodi Inawezekana . #MHDay2022
Nitoe wito kwa jamii kuachana na mila na desturi potofu kuhakikisha upatikanaji wa huduma na vifaa vya kujihifadhi hasa taulo za kike sehemu zote kwa makundi yote na hata kuwa na bei elekezi katika bidhaa hii. Prof. Makubi
#afyakwanza#jaliafyayako
Miundombinu isiyokuwa rafiki kwa wasichana/wanawake wakati wa hedhi ina athari kama vile maambukizi katika njia ya mkojo yanayoweza kusambaa zaidi na kupelekea kupata ugumba. Amesema Prof. Makubi, Katibu Mkuu - Afya
#Afyakwanza#jaliafyayako
Wizara kwa kushirikiana na wadau inaendelea kutoa elimu na uhamasishaji kwa jamii na shuleni ili kuongeza ufahamu juu ya masuala ya Hedhi Salama. Prof Makubi
Katibu Mkuu Afya
#Afyakwanza#Kaziiendelee
Hedhi safi na salama hufanyika pale binti au mwanamke yuko katika mazingira rafiki ya kupata taulo salama za kike zenye ubora kwa afya yake ya uzazi,
Sambamba na upatikanaji wa nyenzo zote muhimu kwa ajili ya usalama wake na mazingira.
#MenstrualHygieneDay#mhh2022
We urge more commitment at the village, ward, district and region levels to prioritize and indicate enough budget to support MHH in schools.
#MenstrualHygieneDay#mhday2022
Kuelekea Siku ya Hedhi Salama Duniani,
shiriki challenge hii kwa kurekodi video ya dakika 1 ukielezea nini maana ya hedhi salama kwako na mchango unaotoa katika kuhakikisha wasichana na wanawake wanapata hedhi safi na salama
#MenstrualHygieneDay#MHday2022
Je unajua inawezekana kuwa na jamii ambayo wasichana na wanawake wanapata hedhi safi na salama?
shiriki challenge hii kwa kurekodi video ya dakika 1 ukielezea maana ya hedhi salama kwako na mchango unaotoa katika kuhakikisha wasichana na wanawake wanapata hedhi safi na salama.
Hedhi Salama inamaanisha nini kwako?
ungana nasi! Kwetu sisi inamaanisha Afya, heshima na thamani. paza sauti kupinga mila na desturi potofu kuhusu hedhi salama.
#menstrualhygineday#MHday2022
Kuelekea Maadhimisho ya siku ya hedhi salama duniani, kitaifa kufanyika Mkoani Kigoma 28.05.2022
Jukwaa la hedhi Salama Tanzania inawaletea mbio maalum Run for Hedhi Salama Mkoani Kigoma kwa ajili ya kukuza uelewa juu ya hedhi salamaTanzania
#menstrualhygineday#MHday2022