@mvimbamacho @FumboKhan2019 @FadhilMaulid Don Carlo Ancelloti kaingia fainali 4 tayari n na kuchukua 3, 2002/03 akiwa Milan- kachukua, 2004/05- kafungwa na Liver, 2006/07- kachukua akiwa Milan, 2013/14- kachukua akiwa Madrid. Mwaka huu ni fainali ya 5 na kuwa kocha wa kwanza kufika fainals 5.
Hivi waga mnanogeshwa vipi kwenye mapenzi jamani mpaka mnachorana Tattoo? Ona sasa kutoka Tattoo ya K mpaka Ua!!😂
Mtoto wa mtu ankoleze namie nimchore kwenye unyayo basi 😄
#Unaambiwa: Mnamo 16 February, 2016; Kijana Tommy Coulter (15) Raia wa Florida, alidaiwa kuwapa mimba wasichana 16 baada ya kumwaga shahawa zake kwa bahati mbaya wakati anaogelea (Swimming pool) ambapo kulikuwa na wanawake 35 ndani ya bwawa Hilo, 16 walipata na 19 hawakupata.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo Mzee wangu Dkt. Chrisant Mzindakaya kilichotokea leo Jijini Dar es Salaam. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa katika uongozi wa nchi yetu, uzalendo na uchapakazi wake. Namuombea Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.