Yesu alisema:
“Hekima hupatikana kupitia unyenyekevu, si kiburi. Kama vile mimea inavyostawi kwenye udongo laini na wenye rutuba, wala si juu ya miamba, ndivyo hekima inavyostawi katika moyo mnyenyekevu, si wenye majivuno.”
@FaradayMtz01 Kwangu me mbeya sehemu ambayo ni too blessed 🙌, kwenye term zote Maisha Hali ya hewa , na biashara kwa ujumla , na Maisha bado cheap kwa mtu kama anajutafuta bado sehemu sahihi ni green ✅ city
Dear Wafalme,
Mbinu 7 CHAFU za BIASHARA:
1. Usifanye biashara na rafiki
2. Epuka kuajiri ndugu
3. Jifunze kusema HAPANA
4. Kuwa makini kabla ya kuamini
5. Soma kila mkataba mpaka mwisho
6. Usiweke urafiki na wafanyakazi
7. Usikubali business partner kwa sababu ya hela
BRO TO BRO 👊
Sababu 10 kwa nini lazima utafute pesa kwa gharama yoyote.
Uzi 👇
1. Pesa inakupa machaguo. Bila pesa, utalazimika kukubali chochote, hata dharau.
2. Umaskini utakufanya uombe kile unachostahili. Pesa itakufanya ukidai kwa kujiamini.