"Huyu kadai reforms za kuondoa polisi katika shughuli za kisiasa. Polisi wamemkamata katika shughuli za kisiasa. Je amekosea wapi? Si alichokisema ndicho kimetokea? Polisi hawajampa point 3 za bure?
Anasema bila reforms hakuna uchaguzi. Wenzake (G55) wanasema twende kwenye uchaguzi. Kama polisi wameingilia kampeni, wataacha kuingilia uchaguzi?!" Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
Tuna taasisi ya kuilinda, tuna Nchi ya kutetea, tuna Watanzania wa kupigania. Chadema ikifa madhara yake ni makubwa mno kwa Nchi yetu..
Lissu sio muongo ni mkweli, muadilifu na muwazi.
Ndoto za Yusuph zilikua kuja kuwa Mhandisi wa umeme (Electrical Engineer). Na alipomaliza kidato cha 4 alichangua kwenda DIT. Wakati anasubiri matokeo akaenda kumtembelea kaka yake aliyekua mwanajeshi kambi ya Ngerengere, Morogoro. Na hapo ndipo kila kitu kilibadilika.
๐๐๐
. @naythetrueboy ft. Raydiance - Nitasema
Verse mbili hazitoshi kabisa Emmanuel, tungepata hata verse nane hivi kwenye hii hotuba kwa Taifa. Anyways, mpo wachache sana wasanii wenye uwezo wa kusema mambo yanayoigusa jamii bila woga. Kuna gharama za kulipa lakini wewe ni MSHINDI
Mchungaji Msigwa atakuwa amefurahi baada ya watekaji kumuua Ally Kibao maana alisema kwenye Interview kwamba Mzee Ally Kibao (Med) ni threat kwa Serikali na ni mtu ambae Chadema inamtegemea sana kwenye Strategy.
Haya sasa wamemuua nenda kasherekeee si ndo ulichokuwa unataka.๐ญ
Tuliwahi kuwa na Taifa la namna hii.
Waziri Mkuu, Spika (not that ugly Tulia), & Mnadhimu wa Upinzani wanabadilishana mawazo.
Hakuna aliyehofia kutekwa & kupotezwa, kando ya visa vichache.
Alaaniwe mshenzi aliyetufikisha hapa tulipo leo.
KIONGOZI WA CHADEMA SUMBAWANGA MJINI -ATEKWA NA KUPOTEZWA..!
Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Sumbawanga Mjini DIONIZ KIPANYA ametekwa na watu waliojitambulisha ni Polisi kutoka ofisi ya RPC-RUKWA siku ya ijumaa ya tarehe 26 July 2024.
Ndugu wa DIONIZI KIPANYA wanasema siku ambayo walikuwa na kikao cha familia nyumbani kwao Kata ya Chanji,Wilaya ya Sumbawanga,mdogo wao alipigiwa simu yake ya mkononi yenye namba 0769104666 na mtu aliye mtaka atoke nje ya nyumba waonane japo dakika 1.
Alipotoka hawakumuona tena hadi leo na simu yake haikupatikana tena hadi leo hii,mashuhuda na majirani waliokuwa nje ya nyumba wanasema DIONIZ KIPANYA hakupambana wala kupinga kuwafuata watu hao ambao walijitambulisha na askari wa Jeshi la Polisi kutoka Ofisi ya RPC-Rukwa.
Ndugu zake walienda kumfuatilia vituo vyote vya polisi lakini Jeshi la Polisi mkoani Rukwa ktk vituo vyake vyote wamekana kumkamata wala kumshikilia DIONIZ KIPANYA.
Ndugu wameandikisha taarifa ya kupotea DIONIZ KIPANYA nakupewa RB namba SUM/RB/3447/2024.
Mtu yeyote mwenye taarifa yake atusaidie kuwajulisha ngudu kwa kutumia namba ya simu ya kaka yake 0756 780 973 JAMES KIPANYA.
Leo ni siku ya 8 sasa tangu DIONIZ KIPANYA atekwe na kupotea.
Boniface Jacob
Ex-Mayor
The voice of the silenced Majority.
Bet of a day.
Shots on target ๐ฏ
โก๏ธ 719EJ
13.44 oddsโ๏ธ
Register PARIPESA
Link: https://t.co/b6bjIrhdS5
Promo code jaza ๐๐ฟKIRIKUU
Upewe Bonus ya kuchezea๐ฐ