Tarehe 29/10/2025 Hatuendi kwa ajili ya kupambana na polisi. Tunaenda kuchukuwa madaraka tuliowapa hawa watawala ambao wameshindwa kuongoza.
Ibara ya 8 ya katiba. Mamlaka yote ni mali ya wananchi.
@bbcswahili Nazani Chadema naweza kusema kwa mtazamo wangu ndio wapinzani wa kweli nazani wasingepigwa pin wangekuwepo kampeni zingechangamka kama zamani