@eastafricatv EE MUNGU ULIEUMBA MBINGU NA NCHI TUNAKUOMBA SANA TUMECHOKA HALI MAUMIVU NA MAJONZI HAKUNA WA KUMTWISHA UTUSAIDIE UTUSAIDIE WALIO NA MAMLAKA HAWATAKI TUWAAMBIE TUKIWAAMBIA NA WANAPANGA MDA WAO WANAOUONA ILA SISI WANANCHI TUMECHOKA TOKA MWAKA 1990 HADI LEO BADO WANATUAMBIA TENA
@rose_mayemba Utawala tulio nao ni sababu kwakuwa wanajua nani atawakamata?
Tukiwaambia Tunataka Katiba sheria inayorusu viongozi wabadilivu wachukuliwe hatua
@TheChanzo Mlifanya Mungu aseme mkatuambia lilo kinyume na 29Ockt
Ni kwa namna gani Mungu afanye?
Kain alipoulizwa kuhusu. Ndug yake mara ya kwanza
Kwani mimi ni mlinzi wandugu yangu
Alipoambiwa alichofanya
Kakiri Mungu akampa zawadi yakuishi maisha yakukataliwa na watu
@lifeofmshaba รtakuwa nchi ya kwanza chini ya Mbingu au Jua kumfanya mwandamu kakitu halafu รนkatekelekelza unavomtaka
MESAHU MUNGU NDIYE ANAESIMAMIA UHAI WAKE?
SIJAWAHIONA ETI MUNGU KAMTELEKEZA MWANADAMU
KUMBUKENI ALIMWAMBIA NINI KAIN ALIPOMWUA NDUGU YAKE
YAANI KUUA NI DHAMBI BIG
@John_Pambalu Waliondoka wakati wa mwnyekiti wa chadema akiwa Lissu na leo wanataka kurudi hao ni wanafki kwa sababu Lisu aliwaeleza mara nyingi, kwani wameona nini leo tofauti na wakati ule?
@PMadeleka Hawezi kuifuta ccm ila chadema ndio ataiweza na alichokisema kwa ccm ni ili isonenkane anaitetea kwa ni mbona kauli zao hazijaanza leo wala juzi