Sahihi Bukhari:3320
Amepokea Abu Hurairah(Alla amridhie)
Mtume wa Allah ﷺ alisema:
“Ikiwa nzi ataangukia katika kinywaji cha mmoja wenu, basi na amchovye (nzima) ndani ya kinywaji hicho, kisha amtoe, kwani moja ya mbawa zake ina maradhi, na nyingine ina dawa yake.”
@Roma_Mkatoliki Roma barikiwa Sana , tuwaombe Sana @tanpol hakuna raia mwenye Nia mbaya na nchi hii tuacheni tuandamane kwa amani sisi hatuna hata visu, kumbuka tunachodai ni maisha mazuri yakiwemo na yenu, msitumikie watu tu kwa kuwafurahisha wao na familia zao sijui nisemaje tu😭😭
@8619sb@DMaabara@MarekaMalili Huu ndio ukweli kama Conte bado hajaclick kwenye mfumo 6 apige Duke mambo yasiwe mengi Andambwile mi simuelewi 6 yake muda wote yupo chino unaweza hisi tunacheza na mabeki watatu wa kati
@TapherNamende@YoungAfricansSC Hatuna timu kaka inaumiza sana timu inacheza kama wamepigiana tu simu wakutane kwenye mechi sijui kama nyumbani tutaweza kuwafunga kuanzia goli 2 bila na kuendelea ili kuwatoa maana 2 Moja tumetoka
@SwahiliBible Mvua zikinyesha maji yakaingia ndani kwake kutokana na miundimbinu mibovu yeye hugombana na mwenyenyumba
Mtoto wake akisoma mpaka form6 na haujui anasomea nini yeye hugombana na waalimu, akipanda daladala nauli zimepanda yeye hugombana na kondakta,