Elimu ya fedha, elimu ya uchumi na uwekezaji. Tunatoa Mafunzo (Trainings) kwa mashirika na Wizara zote. Elimu ya Kujiandaa Kustaafu. Elimu ya Afya na Mazingira.
JPM Alituambia Tumuache Ainyooshe Nchi Kwanza Mambo Mengine Baadae, Mateso, Dhulma Na Udikteta Ukashamiri. Leo Mama Samia Anatuambia Tumuache Ainue Uchumi Kwanza Mambo Mengine Baadae, TUSIPOMKEMEA Na KUMUONYA Ataturudisha Kulekule Tulipotoka Kwa Kisingizio Cha 'Kuinua Uchumi'
Asanteni sana ❤️ wapendwa!
Mtu asikwambie kuwa sauti yako haina nguvu!
Wakati tunaanza najua watawala walitubeza, kama kutukana tumetukanwa lakini hamkukata tamaa
Sahihi zaidi ya elfu 23 👏🏽👏🏽
Sasa tuendelee kudai HAKI na Uwajibikaji kwa enablers and collaborators wote ✊🏽
Kabla Hujaamua Kulima Jiulize Hivi;
1. Unafahamu Chochote Kuhusu Zao Utakalo Lima?
2. Eneo Unalotaka Kulima Hilo Zao Lina Stawi?
4. Una Pesa Za Kutosha Kuweza Kuhudumia Vizuri Shamba Lako?
5. Hilo Zao Lina Soko?
@SuphianJuma@SuluhuSamia Mmmmmmmh uchumi umeshuka kutoka 6.9% hadi 4.7% kuanzia miaka ipi? Kwa hiyo ile taarifa kuwa tunajenga bwawa la Umeme kwa pesa zetu wenyewe haikuwa taarifa ya kweli??
@MSalimu@saidmuhammed In Africa people are great believers in Prayers!! Churches are every where!! New prophets are born every day!! Vaccination is obtained from much prayers!! God is our protector!!
@HildaNewton21 Wanarudi nyumbani saa nane usiku.
Wapole sana Mbele ya watu!
Wana mawazo mengi saaana kichwani
Ni waandishi wazuri wa Vitabu na magazeti
Ni wasemaji Sana wa mambo mengi ya siasa
Wanashinda mitandaoni kila siku!
Kila mada wao wanaijua na huchangia kila mjadala.
Serikali iondoe tozo ya 6% #ValueRetentionFee inayotozwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu
@HESLBTanzania
kila mwaka kwa kila mnufaika.
Tozo hii haiendani na vipato vya Watanzania.
Mkopo wa elimu sio sawa na mkopo wa kibiashara @SuluhuSamia
Tafsiri Ya Mafanikio Ni Perception Tu Ya Mtu, Kwangu Mimi Tafsiri Ya Mafanikio Ni #ME vs #ME Yaani Mimi Wa 2010 Je Ndiyo Mimi Wa 2021?
UnapoDefine Mafanikio, Usiyapime Kwa Kujilinganisha Na Wengine, Hujui Wamepitia Nini Kufika Walipo, Jilinganishe Wewe Na Ulikotoka!!
@AnanileaN Wafanyakazi wanahenyeka usiku na mchana ndiyo
Wanaokusanya kodi zote nchini. Ndiyo wanaotozwa kodi zote!! Ndiyo Kundi maskini saaana kiuchumi!! Wakistaafu hujikuta maskini zaidi kwenye jamii! Mchawi wa wafanyakazi ni Nani?
@MarekaMalili Sekondari iwe miaka 2 advanced level iwe miaka 2 kisha wahitimu wote wapitie VETA kwa miaka 2 na anayependa kuendeleza elimu ya Chuo Kikuu miaka 3 aendelee kwa kupenda mwenyewe!! Jumla miaka 9 ya elimu baada ya elimu ya msingi. Tuwe na 7+2+2+2+3 = 16 !!