Stiglitz: "Without reform, Europe will most likely go from crisis to crisis, with slow economic growth. That brings a high probability of going over the brink. The next brink is clearly Italy, which has been stagnant for years. The euro doesnโt give them any scope for expansion."
@MsigwaPeter Kabla ya CHADEMA kulikuwa na NCCR-Mageuzi na CUF. Hivi vilikuwa na nguvu na vilichapa kazi nzuri pia. Hivyo, ingekuwa sahihi zaidi kama ungesema โfikiria kama vyama vya upinzani visingekuwepoโ au simply .... kama upinzani usingekiwepo
@ankokitime Pole sana mkongwe, mzee Kitime. Lakini angalau ulifanya kazi yako hadi saa 6 na robo! Nilidhani hukufanya kabisa kama sentensi ya kwanza inavyoonyesha.