@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara..
Maneno muhimu kutoka kwako:
Unaelekeza mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari!!!! Ni mtu gani anaweza kuwa na kitambulisho cha Mtanzania lakini hana cha Mzanzibari?
Bila shaka ni mtu kutoka Tanganyika.
Umesema hatuna uwezo wa kutibu watu milioni 60 ambayo hiyo ni idadi ya Watanzania ambao wengi ni Watanganyika.
Je kuna siku wote wamevuka kuja kutafuta matibabu huko?
1. Saada unaweza kuwambia watu deni la Taifa ambalo kila mwezi tunalipa karibia trilioni moja na kadhaa ni kiasi gani kinatoka kwenye makusanyo ya Zanzibar?
2. Serikali za mitaa sio suala la muungano kwa katiba yetu,
Je unajua kuna wakurugenzi wa halmashauri za miji na majiji wameteueliwa kutoka Zanzibar huku Tanganyika?
Unajua kuna MADC wengi tu wameteueliwa kutoka Zanzibar wako huku bara?
Umefuatilia kwenye idara za madini, utaliii na wizara nyingi ambazo sio za Muungano kuna wakuu wa idara wangapi, wakurugenzi wa idara na maafisa wangapi kutoka Zanzibar?
Unataka Watanganyika wanaoishi huko wabaguliwe na wasipewe matibabu kwasababu ya kukosa kitambulisho cha Mzanzibari hata kama ana matibabu kadi ambayo ni sawa na bima ya afya….
Je Wazanzibari wanaoishi huku Tanganyika na wana bima za afya za NHIF nao wanyimwe matibabu?
Huyu ni waziri wa pili ndani ya mda mfupi kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Watanzania wengine na hakuna kauli yet kutoka kwa aliewateua… Kwahiyo huu ndio msimamo wa ccm na ndio msimamo wa wateuzi wao.
Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika?
Baada ya uchaguzi wa 2015, CCM waliwasamehe watu wao na kuwarudisha chamani, kina Lowassa, Sumai na wengineo.
Je waliwasamehe sababu bila hao watu CCM ingekufa? Hapana. Je waliwasamehe sababu chama bado kilikuwa kinawahitaji sana? Hapana.
Je why CCM waliwasamehe watu ambao walihamia Chadema kwa kishindo na walikuwa tayari kuiangamiza CCM na kuipoteza? Waliwasamehe for 1 reason only, Kuipunguzia nguvu Chadema. CCM hata watu wao wafanye madudu gani huwa wanawasamehe ili tu nguvu isitoke CCM na kwenda CHADEMA.
Cha msingi hapa ni Chadema kuwa na akili ya kutowapa nafasi sensitive hawa wanaorudi kwenye chama. Hapa ndo the real test ilipo kwa Chadema.
2015 baada ya CCm kuwasahamehe watu wao, waliwatupa back bench huko. Hawakupewa nafasi zozote za uongozi. Same thing should happen hapa kwa Chadema, wawasamehe ila wasipewe nafasi zozote za umuhimu au sensitive..
If you ask me, hata Halima Mdee, kama atatubu na kuomba msamaha vizuri pia ni vyema akasamehewa. Alafu Halima sijawahi akiichamba Chadema au viongozi wa Chadema.
Chadema wako kwenye vita kubwa , they need as many fighters as they can get. Cha muhimu waishi na hao wanaorudi kwa akili.
"Walimpiga kiongozi wa upinzani(Lissu) risasi ili ionekane ni serikali" - Mwigulu.
So, Mwigulu anamfahamu mpiga risasi, na wanamuacha kumkamata?
By the way, WANAMFUNGA JELA KIONGOZI WA UPINZANI ILI PIA IONEKANE NI SERIKALI, SI NDIO?
Mbumbumbu katika ubora wake.