@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
HUU NDIO USAHIHI WA YALIYOJIRI KATIKA MJADALA NA UPIGAJI KURA WA BUNGE LA ULAYA KUHUSU MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UMOJA WA ULAYA KWA MWAKA 2026.
Tujiepushe na wanaopotosha kuhusu jambo hili.
#KaziIendelee
@ACTwazalendo@zittokabwe ACT ingawa mliyosema hapa mengi kama sio yote ni sahii na hatuwapingi.
Ila tunauliza dhamira yenu kama ni KWELI TUPU? Kabla ya uchaguzi mliambiwa na mkaja na matamko anuai kuwa mhuni hasusiwi..
Sasa leo mnalia kilio kile kile.
Kama sio UNAFIKI na U****E ni nini?
Mnafanya UDALALI
ACT ingawa mliyosema hapa mengi kama sio yote ni sahii na hatuwapingi.
Ila tunauliza dhamira yenu kama ni KWELI TUPU? Kabla ya uchaguzi mliambiwa na mkaja na matamko anuai kuwa mhuni hasusiwi..
Sasa leo mnalia kilio kile kile.
Kama sio UNAFIKI na U****E ni nini?
Mnafanya UDALALI
Kuna hii website nimekutana nayo mtandaoni inaitwa Class Central.
https://t.co/u3P7LNZnm1
Kuna kozi 100,000+ za bure unazoweza kujifunza vitu mbalimbali.
Jikusanyeni vijana 3–5 ambao hamjasoma sana, hamchagui kazi wala biashara, lengo moja tu kutengeneza pesa.
Kisha fanyeni Hizi Biashara, hapa kuna pesa isiyokauka.
Hizi ni biashara 15 ambazo ni game changer kwa sasa.