@KenyanSays Tanzania ni nchi ya watu wapole sana. Sifikiri kama kwa nchi zingine hawa watu wangekuwa hata wanajitokeza mbele za watu, achilia mbali kuongelea mauaji ambako ni mbali sana. Hata kutembea tu barabarani au mahali penye wananchi.
Kama Muisilamu, kama Mzanzibari naona aibu kwa alichokifanya Rais Samia! Kwa sababu Samia ni Muisilamu na Mzanzibari kama mimi basi nisingependa nihusishwe mimi au Wazanzibari wengine na Waisilamu kuwa sehemu ya UOVU wake katika uongozi wake kwa namna yeyote ile. Pole Tanganyika, Poleni Watanganyika.!
There is absolutely no justification for what is happening in TZ right now, the killing of our people, ABSOLUTELY NONE WHATSOEVER!! STOP THIS MADNESS OF THINKING OUR PEOPLE ARE YOUR SLAVES AND THEY CANNOT THROW OFF THE YOKE OF YOUR ENSLAVEMENT. YES THEY CAN AND THEY WILL, IN THE FULLNESS OF TIME, WHICH COULD BE NOW!
Sema @CRDBBankPlc mnachokifanya hakikubaliki. Huduma ni mbovu kwa kiwango ambacho hakijawahitokea, makato lukuki halafu ni kama hamjali, zaidi ya wiki mbili mnakata hela hazifiki kwa wahusika, tukiomba statement hamtoi. Mngekuwa mahali pengine kesi ambazo mngefunguliwa kwa usumbufu na hasara mlizosababisha kwa wateja sijui kama mngetoboa.. lkn kwakuwa tupo nchi ya maziwa na asali mko mrelax mnajua hakuna kitu kitatokea.
Yani hii code nyepesi sana.
Huyu mtu anaeongelewa hapa na Rose Ndauka ni kale kapimbi kama mama Stivu mengele (Stivu nyerere).
Kwenye utawala huu wa Dikteta jike kamejigeuza na kenyewe sehemu ya utawala. Kanapelekesha sana wasanii wenzie.
Yule MAFUFU ya uyole sio akili zake ni huyu PIMBI. Wewe pimbi stivu mengele endelea kuona kama hii nchi ya MAMAAKO na mtaishi milele.
Siku inakuja hakuna rangi hamtaona. Endelea kutumia wasanii wenzio kama ngazi ya kujitwajilia uadilifu kwa hao VIBAKA.
TUTAKUWEPO🫵😎
Starlink is lighting up the whole world, one nation at a time, except in Tanzania🇹🇿, where progress is burdened by visionless, brainless, incompetent, and broken leadership🤡
@HildaNewton21 Tatizo kubwa lipo kwa watekwaji. Tupo kama mbuzi bandani anachukuliwa mmoja mmoja na hakuna kitu tunafanya zaidi ya kulia lia kisha tunachill kusubiri aje achomolewe mwingine. Ndo maana nao wanaona kama kamchezo tu na hawataacha.
Mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi haulengi kuleta machafuko bali utulivu tena wa muda mrefu, siyo huu mfumo wa sasa ambao utulivu wake upo mashakani sababu wananchi wamechoka kukosa sauti kupitia sanduku la kura. Mahubiri ya amani bila HAKI ni kelele zilizozoeleka sasa toka kwa watawala wetu. Amani ambayo wachache wanatawala kimabavu na siyo kutumikia jamii, wanajichagua na kujiteua watakavyo bila ridhaa ya wenye nchi, hiyo siyo amani. Amani yetu tunayo sisi wananchi siyo wao. Sisi ndo tunailinda na tunataka haki ili tuendelee kuilinda kwa wivu.
@stanysteve@AdoShaibu Kwani mwenye mtego ni nani mangi? Kama 2020 hukumuelewa JPM kuhusu aloleta chaguo, kisha 2025 akaja na azimio la kupitisha mgombea chap chap, basi hata hukumsikia siku ya msiba wa Msuya?.. hapo mwisho ni ama umeonyesha uoga au umepuyanga.