Pongezi kwa vijana wetu Fadhili na Ibrahim (The Ramadhani Brothers) kwa kuibuka washindi katika mashindano ya sanaa na burudani ya AGT: Fantasy League. Safari yenu inaendelea kudhihirisha kuwa juhudi, nidhamu, kujituma na kujiamini ni nguzo muhimu kufikia mafanikio. Mnaitangaza vyema nchi yetu na kuweka mfano bora kwa wengine.
@__abdulazack @ExMayorUbungo Hawa jamaa huwa hawajielewi kazi kukosoa tu hawajui cha kushauri yani ni sawa na amemkuta mtu anatatizo anaomba msaada yeye ameshika simu anamrekodi apate kuweka kumbukumbu wew saivi sisi tunaona madarasa yanajengwa mengi na serikali inafanya jambo kubwa
Hongereni sana Fadhili & Ibrahim (The Ramadhani Brothers) kwa hatua kubwa katika mashindano ya AGT 2023. Safari yenu ni alama ya Utanzania (bidii, nidhamu, kujituma, kujiamini na nia ya kufanya mambo makubwa). Mmeitangaza vyema nchi yetu. Mmelitendea vyema jina la Taifa letu.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu tumefanikiwa kuwa wenyeji wa michuano mikubwa ya soka Afrika (AFCON2027), tukishirikiana na Kenya na Uganda. Nawapongeza nyote mlioshiriki kuhakikisha nchi yetu inapata fursa hii adhimu. Nawaagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhakikisha tunafanya maandalizi mazuri, ikiwemo kukamilika kwa wakati na kwa ubora wa hali ya juu, viwanja viwili vipya vya kisasa vya michezo Arusha na Dodoma.
๐ฒ๐ฆ @WACofficiel ๐ @SimbaSCTanzania ๐น๐ฟ
๐๏ธ Mohammed V Stadium
๐ #TotalEnergiesCAFCL Quarter-Finals
๐ 19:00 GMT
Can Simba SC hold on to their lead or will the Moroccan side pull-up a comeback? ๐