@babalao__@Nkubaiv Huyu jamaa hafai,huyu hana lengo la kusaidia wananchi kaeleza wazi akiwa kiongozi atasaidia mawakili na si wananchi maelezo yake karibia yote anasema atasaidia mawakili na si Wananchi#kataawahuni
@JMakamba Sidhani kama ni sawa,ofisi ya serikali haimilikiwi na mtu bro so wewe umetolewa kitini huna sababu ya kusema umekabidhi ofisi siyo yako hiyo ni mali yetu hata ungesinge kiwepo alipaswa aingie kazini#kataawahuni
@DrCyrilo Tena kijinga kweli kweli,Tanzania ni kati ya mataifa machache yenye kazi ya kuelimisha wasomi wakati wajinga tulitegemea tuelimishwe na wasomi.#kataawahuni
@ExMayorUbungo Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani kijana mpambanaji mwenzetu,hakika kila jikisomaga hizi mambo hua najikuta nauchukia uraia wangu#kataawahuni
@SuphianJuma@WilliamsRuto@SuluhuSamia Hapa wa kusifiwa ni watanzania na si Kiongozi yoyote ndugu yangu,viongozi wetu hawajawahi kufanya jambo la kueleweka na wananchi hata kwa asilimia 60@watanzania ni wananchi wazalendo sana ni vile tu hatujapata viongozi wa maana#kataawahuni
@earadiofm@kissadaniel2@SuluhuSamia Kenya ndiyo taifa nahisi Eastfrica lenye wananchi wengi Wenye elimu(taaluma)za juu lakini MUNGU akawanyima akili za kufikiri tangia mi Nakua kenya kila jambo wanaandamana na kila mwaka maisha magumu sijawahi kumskia mkenya wakawaida akiishi maisha mazuri Kama tz
@ExMayorUbungo Kaka jana umetudanganya kakimbia kama bolt leo tunaona anatembea tena kwa madaha,sasa sijui umeweka slowmotion ama😂😂😂SIASA za TZ mnatuchanganya wananchi tumuelewe Nani kijani au ✌🏿kwa kweli. Mi naona wote mmekua wapigaji tu😂
@bonichengula@Tonny_matemba Hiyo michezo tegeta,mikocheni,mbezi na temeke tandika imekua kama kawaida sisi tulipigwa crocs za 1.8m na temeke tandika tulipigwa 14pro Max sealed🥹nimesoma hiyo story mpaka mwisho inafanana na style tulizopigwa 98%🫡#kataawahuni
@MKravemelanin@fbuyobe Kaka hivi na wewe Unaamini kwamba spika wako ni bora kuliko maspika wote wana hachama wa IPU!?kama unaamini kapita kwa ubora huo pole,Ila tu nikushtue kuna msemo alisema kiongozi MMOJA mzalendo.”Ukiona wazungu wanakusifu na kukupetipeti stuka”Cha ajabu Africa tumekua Kama watoto.