Jamaa ana touch kama zetu tu Bongo, sema kaniongezea kitu anapick insured options.
Option zake zinajilinda sana kitu ambacho punters wengi hawana.
Badala ya Over 2.5 pick over 2, direct win pick win either half & timu kama inadira ya kuwin anaipa handcap +1
Jamaa linajua🫡🧠
Niamini mimi, kila mtu ana peak/ prime yake ya kwenye maisha ya utaftaji
Kwamba ipo age au kipindi utashika hela ambayo hujawahi kuwa nazo katka maisha yako
Ombea sana kipindi iko uwe aware kufanya jambo la msingi na izo hela ili wakati wako ukipita usibaki na historia tu
Kama kweli U-akitekcha unalipa..,
Kwanini wafundishe chuo kikuu.?
Kwanini wanaojua u-akitekcha wasijifungie wapige hela zao tu..?
Kama kweli wanapata hela si watufundishe bure.?
Au si wafundishe ndugu zao tu.?
(Hii ina tofauti gani na wauza kozi za foreksi.?)
Shtuka broooo.!
Kitu ambacho watu wengi kinatufanya tuipende forex,
Bila kuwa na familia zenye majina makubwa,
Bila kujuana na watu fulani fulani,
Bila kuwa na mtaji wa mamilioni ya fedha,
Kijana aliyetoka kwenye maisha ya kawaida ana chance ya kupambana na kupata fedha za kuwekeza pengine.!
Kitu cha mwisho nilisahau kukiweka hapo ni hiki..!
Statistics zozote ili uzirely hakikisha unaangalia pia zilichukuliwa mda gani..
Ukiingia wodi ya wazazi leo kutafuta statistics za wanawake wanaoingia period obviously utapata statistics za kusema wanawake hawaingiagi period.!
Huu utafiti uliufanya lini?
Wapi?
Damn statistics again😂😭.
Tuassume basi ni kweli😂.
Then the same thing applies kwenye kila biashara, kila mtu mwenye ndoto za kuwa msanii, kuwa mcheza mpira, kuwa mwanasiasa..
The fact few people make it doesnt mean the thing is a scam.!