@salim_alkhasas Pale mbeya ulipita speaker akaondoka na Rais hakwenda hata kuzima kwangu naamini ili ni jicho pekee rais alilonalo linaweza kumpa rpori yanini kinaendeleea kwenye hii nchi
Mimi nafikri kuna siri kubwa ambayo hatuambiwi lakin naiona kwa maono yangu apart of rais kuwa na jicho pana la kiutwala naamini mwenge ni jicho la kwake jingine hakuna chombo kinachoweza pita kila wilaya kila kijijo kuangaliaa miradi hata waizri mkuu au mkuu wa mkoa hawez wanazindua mwenge lkin wanakagua maendeleo na kupima upepo