Kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia Ugaidi ya 2002, Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi ana WAJIBU wa kutangaza mtu au kikundi chochote cha Ugaidi kwenye GAZETI la Serikali. Chini ya mikataba ya Kimataifa inayohusu mambo ya usalama, Waziri anatakiwa pia kupeleka taarifa hizo za MAGAIDI kwa Security Council ya UN ili taarifa hizo zisambazwe kwa nchi wanachama (member states) ili kuweka tahadhari.
Jeshi la Polisi limekamata zaidi ya vijana 150 wakiwatuhumu kufanya UGAIDI lakini mpaka sasa huyu anayejiita Waziri hajatoa tangazo lolote ndani au nje ya nchi – ambalo ni TAKWA la kisheria. Kitendo cha kukaa kimya ina maana Tanzania ina hatarisha usalama wa nchi nyingine, hasa nchi jirani.
Sasa, John Heche amekuwa MZALENDO na anapotaka kuwasaidia ili kuutangazia Ulimwengu kuhusu hawa MAGAIDI wenu kuna shida gani! 😂
Ninyi si mmekamata magaidi, basi acha dunia ijue, mnaficha nini sasa! 😂
Wazee mkoa wa Simiyu wamuunga mkono Mhe. @HecheJohn katika mapambano ya #FreeTunduLissu na #KatibaMpya, wampa hela ya maji na zawadi ya Mbuzi.
CHANGIA BARAZA KUU
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
🚨‼️Terrorism Risks During AFCON
in Tanzania‼️
Cc @CAF_Online
In October 2025, a massacre resulting in the deaths of over 10,000 innocent Tanganyikans and foreigners occurred in Tanzania. To date, no one has been held accountable for heinous crimes against humanity.
Samia Suluhu Hassan leads a terrorist cell under the guise of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party alongside Paul Christian Makonda (the Minister of Sports) and Faustine Jackson Mafwele (Senior Assistant Commissioner of Police - SACP). Both Makonda and Mafwele have been sanctioned by the United States government for gross human rights violations. They have a long-standing reputation as brutal enforcers of extreme torture against dissenters
We urge CAF to review the serious risks facing traveling fans, particularly in light of terrorism statistics published by the Tanzania Police Force (TanPol). TanPol has documented the arrests of nearly 200 individuals linked to active terror plots in the past three weeks alone.
Human rights violations have escalated sharply, with a presidential commission in April 2026 confirming the enforced disappearance of over 700 people between 2024 and 2026. This follows a June 2025 report by UN Human Rights Experts estimating over 200 disappearances.
Given the widespread threat of abductions and systemic insecurity throughout both Tanganyika and Zanzibar, we urge CAF to reconsider its hosting decision rather than endanger the lives of international visitors, tourists, and football fans.
Should the tournament proceed under these volatile conditions, CAF must accept full institutional and moral responsibility for any loss of life or enforced disappearances.
A luta continua 👊🏽
#WinoMzito | ‘’Hela ziko wapi?’’ Mfanyabiashara mdogo aitwaye Mohamed Said alimuuliza swali hilo Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.
#WinoMzito | #EastAfricaRadio | #SupaBreakfast
Watanzania, Samia yuko njiani kuweka zuio la Watanzania kuchangia Chadema ili iwe rahisi kwake kuwapa rushwa ya pesa Chadema ili wasaliti nchi na kuingia nae kwenye maridhiano ya kihuni.
Anawatumia Chauma katika kuweka zuio hili.
Wamiliki wa project ya kumchafua Heche na tone tone leo wametoka fronti. AIBUUUUU..
KUCHANGIA TUMA PESA:
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
‼️HABARI MBAYA KUTOKA MWANZA‼️
Leo Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imewafungulia kesi ya UGAIDI wanachama 23 wa CHADEMA ambao walikamatwa kwa nyakati tofauti maeneo mbalimbali Jijini Mwanza, tangu Julai 1, 2026.
Naambiwa haya ni maelekezo ya Nduli Idd Amin Mama kupitia kwa kibaraka wake ambae ni Waziri wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi, kwamba watu wote waliokamatwa kabla na baada ya Maandamano ya 7/7 wapewe kesi za UGAIDI.
#UPDATES_KESI_YA_MAWAKILI_WA_MHE_LISSU_DHIDI_YA_MKUU_WA_MAGEREZA
Part 27
Anaendelea Wakili wa Serikali wakuitwa Wisdom.
Wisdom : Ulipokuwa unasema wasaidizi wako watekeleze kwa mujibu wa sheria? Maana yake nini?
Bwana Jela: Kufanya kwa mujibu wa sheria tu. Kama mchungaji anaingia kwa mambo ya kiroho peke yake.
Wisdom: Uliulizwa umeleta kiapo kinzani kujibu majibu ya mjibu maombi wa nne. Ukasema hujaleta? Kwanini.
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sikuleta kwasababu yeye ni mjibu maombi kama mimi.
Wisdom: Ulisema mawakili wote lazima wakaguliwe maana yake nini?
Ntamamiro (Bwana Jela): kufuata sheria tu. Kuandika comment au kutoandika kunazuia sheria.
Wisdom: hebu eleza huwa mnakaguaje nyaraka?
Ntamamiro (Bwana Jela : mfano kitabu tunakagua kuangalia kuna kitu chochote hatari ndani yake.
Wisdom: Nimemaliza.
Anasimama Narindwa Wakili wa Serikali.
Wakili wa Serikali Narindwa: Kwani walioleta maombi ni akina nani?
Ntamamiro (Bwana Jela: Kulwa Maduhu, Nashon na Kisabo.
Wakili wa Serikali Narindwa: Kwani Maduhu mlimzuia asiingie?
Ntamamiro (Bwana Jela: Hakuwepo kwenye orodha na pia hakukuwa na ombi kutoka kwa Lissu.
Wakili wa Serikali Narindwa : Nimemaliza na tumemaliza, hatuna la ziada.
Majaji wanaandika.
Jaji Rumisha Anamuuliza Seka. Mnataka kusema kuwa mnahitaji mawakili wawe na chumba chao au mnahitaji haki ya msingi ya faragha ya mawakili inalindwa?
Wakili John Seka : nafikiri tudeal na soft part of it. Haki ya msingi ni nini sio lazima chumba kiwepo.
Anasimama Mhe. Lissu anasema Waheshimiwa Majaji msiwe na shaka vyumba vinaweza kuwepo.
Mimi naishi Ukonga na pale ukonga kuna vyumba havinaga kazi kabisa. Mfano viko vyumba viwili vya Mahakama ya mtandao. Huwa sio kila siku kuna kesi kama waliweza kuwa na Mahakama ya mtandao pale na vyumba vyake vipo kwanini chumba maalumu kabisa cha mawakili kisiwepo?
Jaji Rumisha: Nafikiri tutajielekeza kwenye kuhakikisha haki inalindwa sio lazima majengo.
Jaji Mruma anasemam sasa Maombi ya Msingi tulisema yatasikilizwa kwa njia ya maandishi.
Na scheduling order itakuwa kama ifuatavyo.
Submission za petitioners zitakuwa ni kabla ya Tarehe: Watajibu PO na kufile submission in chief yao. Kabla ya Tar. 24/08/2026. Rejoinder ya Petitioners kwenye majibu yao 07/09/2026.
Respondets Submission zao zitakuwa ni Tarehe: Submission P.O before 10/08/2026. Wataleta rejoinder ya PO na reply yao 07/09/2026.
Mention kabla ya uamuzi ni 16/09/2026.
Mhe. Lissu anasimama anasema na mimi mseme naleta majibu yangu lini?
Jaji Rumisha: Sasa na wewe kwenye PO ambayo wamewekewa waleta maombi unataka kujibu kama nani wakati wote ni washitakiwa au wajibu maombi?
Jaji Mruma: Amedakia, Mimi nakuelewa Lissu hata kwenye kesi za kawaida za madai defendants wanaweza kuwa na madai dhidi yao wenyewe na ikasikilizwa. Kwahiyo Lissu uko sahihi na tutakupatia haki hiyo hakuna shida.
😂😂😂😂Kwa kifupi Mruma ameingilia show. Naambiwa huyu Mzee ni miongoni mwa Ma Jaji senior sana wa Mahakama Kuu na uwezo wake ni mkubwa sana. Serikali imeshindwa kumpandisha cheo kwenda Mahakama ya Rufani kwasababu yeye huwa sio Chawa kabisa. Ni Mzee anayejielewa sana na yuko serious.
Tumekuwa tukishuhudia kesi nyingi hapa Mahakama kuu kwa mara ya kwanza tumeshuhudia Jaji ambae kwakweli anajua kazi yake.
Anasimama Wakili Ukashu anasema Mh. Jaji na mimi interested party hujatutaja kabisa? Tunafile lini?
Anasimama Narindwa anasema hata sisi tunashangaa huyu Ukashu na TLS wanataka kujibu PO wao ni akina nani?
Jaji Mruma: Sasa sikilizeni msichanganyikiwe. Sisi wengine tumekaa humu miaka 30. Mimi nimefanya hizi kazi mwaka wa 30 huu. Hakuna jipya. Wewe Ukashu utatumia tarehe za 4th Respondent kujibu. Msichanganyane kabisa.
Naahirisha kesi kwa tarehe nilizosema.
NB. Nakuomba usisahau kuchangia #ToneTone ili kufanikisha BARAZA KUU.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_MAWAKILI_WA_MHE_LISSU_DHIDI_YA_MKUU_WA_MAGEREZA
Part 26
Tumerejea baada ya Mapumnziko ya nusu saa.
Anaanza Wakili wa waleta maombi Adv. Emmanuel Ukashu kumuhoji Maswali Mkuu wa Gereza la Ukonga Ntamamiro (Bwana Jela)
Adv. Ukashu: shahidi umewahi kuisikia TLS?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Ndio naifahamu.
Adv. Ukashu: Ili mtu aingie Gerezani inahitajika wewe ndio umruhusu aingie?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sahihi
Adv. Ukashu: Ni sahihi ukipewa maelekezo yoyote lazima utekeleze na Kamishna General?
Ntamamiro (Bwana Jela): Ni sahihi
Adv. Ukashu: Maelekezo kutoka juu maana yake nini?
Ntamamiro (Bwana Jela): Ni maagizo ya kiutendaji unayopaswa kutekeleza.
Adv. Ukashu: Usipoyatekeleza unaweza kufukuzwa kazi?
Ntamamiro (Bwana Jela) : kwa mujibu wa sheria.
Adv. Ukashu: Unaweza kumbishia Boss wako?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Siwezi kufanya hivyo.
Adv. Ukashu: Soma SUPP 4 tar. 12/03/2026 entry no. 8 hebu isome hapo.
Ntamamiro (Bwana Jela): Huruma Tehejas mfungwa aliyekuja kumtembelea ni mfungwa na shida ya kisheria. Maoni hapakujazwa. Na sahihi hamna.
Adv. Ukashu: Sasa alienda wapi huyu Wakili kama hakuna uliposaini na maoni hukuweka.
Ntamamiro (Bwana Jela) : Nilisahau kujaza na naamini hakukataliwa pia.
Watu wanacheka. 😂😂😂😂
Adv. Ukashu: Kwanini usifukuzwe kazi kwa uzembe wa aina hii? Maana haijulikani alikuja kufanya nini?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Nifukuzwe tu kazi kama unaweza kunifukuza. Fanya hivyo ila mimi nimesema nilijisahau.
Adv. Ukashu: Unafahamu kazi ya uwakili ina maadili yake?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Kila kazi ina maadili.
Adv. Ukashu: Maadili ya magereza tumeshayaona hapa hujajaza nyaraka na hujui wakili alipoingia alielekea wapi? Sasa tuzungumze maadili ya mawakili.
Ntamamiro (Bwana Jela) : siyajui mi sio wakili.
Adv. Ukashu: Unaijua Mandela Principle?
Ntamamiro (Bwana Jela): yes
Adv. Ukashu: soma hapa inasemaje?
Ntamamiro (Bwana Jela): Mfungwa atazungumza na wakili wake kuwa atazungumza bila kikwazo.
Adv. Ukashu: Umeitekeleza?
Ntamamiro (Bwana Jela): Inasema nizingatie sheria za ndani pia?
Adv. Ukashu: Sasa tuambie ni kifungu gani cha sheria ya ndani ambacho kiko kinyume na Mandela Principle.
Ntamamiro (Bwana Jela): Hakipo.
Adv. Ukashu: Nimemaliza. Naomba Wakili Neema aendelee.
Anasimama Wakili Neema Saruni.
Adv. Neema Saruni: Nitakuwa sahihi nikisema mtu anayekuja kumuona mfungwa anapaswa kuwa na sababu ya msingi?
Ntamamiro (Bwana Jela): Ni sahihi kwa mujibu wa Sheria.
Adv. Neema Saruni : Ulisema mjibu maombi wa nne alikuwa na orodha yake hivyo basi alipotokea hayupo mlimrudisha?
Ntamamiro (Bwana Jela): Ndio tulifanya hivyo.
Adv. Neema Saruni : Nitakuwa sahihi nikisema hamkumpatia haki yake ya kusikiliza.
Ntamamiro (Bwana Jela): Sahihi.
Adv. Neema Saruni: Nilipokuja mimi kumuona Lissu nilikuwa kwenye orodha yake?
Ntamamiro (Bwana Jela): Haukuwepo.
Adv. Neema Saruni : Nilipofika ikawaje?
Ntamamiro (Bwana Jela): tulienda kumuuliza lissu.
Adv. Neema Saruni : akasemaje?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Akaruhusu ukamuone.
Adv. Neema Saruni: Kwanini huyo mwingine mlimrudisha bila kwenda kuuliza Lissu anasemaje?
Ntamamiro (Bwana Jela): Hapo sasa ndio kuna utata.
Watu wanacheka 😂😂😂
Adv. Neema Saruni: Nimemaliza.
Haya wanasimama mawakili wa Serikali, anaanza Wakili wa Serikali anaitwa Wisdom
Wakili wa Serikali Wisdom: Ulitekeleza majukumu yako kwa mujibu wa nini?
Ntamamiro (Bwana Jela): masharti yapo kwenye sheria ikiwemo PSO.
Mhe. Lissu: Waheshimiwa majaji naomba asitaje kabisa PSO maana jana haikuwepo na hatukumuuliza. Asiulize. Sect. 156(3) ya Evidence Act iko wazi kuhusu Re- examination.
Jaji: Sasa Wakili wa Serikali Wisdom uko tayari kuendelea na njia hiyo ili tumruhusu Lissu nae aanze kuuliza kwenye PSO.
Wakili wa Serikali Wisdom: Naomba tu niishie hapo. Sitaendelea mbele.
Watu wanacheka 😂😂😂😂
Part 27 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
‼️HABARI MBAYA‼️
Nimepewa taarifa kwamba yule Mwalimu wa UDOM ambae alikamatwa kwa tuhuma za Maandamano ya 7/7 na kushikiriwa kinyume cha sheria.
Baada ya Mahakama kuamuru apewe dhamana, Serikali ya Nduli Idd Amin Mama imembambika kesi ya Ugaidi.🥹
#UPDATES_KESI_YA_MAWAKILI_WA_MHE_LISSU_DHIDI_YA_MKUU_WA_MAGEREZA
Part 25
Wakili wa Waleta maombi Edson Kilatu anaendelea kumdodosa Shaidi ambae ni Mkuu wa Gereza la Ukonga Ntamamiro (Bwana Jela)
Adv. Kilatu: Ni sahihi ili tujue maduhu ni muongo anasema alifika Ukonga lakini hakufika kumbe ulipaswa kuleta kitabu cha watu wanaohudhuria ukonga wakifika pale getini wanaandika.
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sahihi
Adv. Kilatu: Umeleta?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sijaleta.
Adv. Kilatu: unakumbuka kuhusu huwa hamsomi nyaraka anazopelekewa Lissu?
Ntamamiro (Bwana Jela) : ndio
Adv. Kilatu: umeleta kiapo chochote cha unaowatuma kusimamia kuwa wanasema hatujawahi kusoma nyaraka za Lissu tukitekeleza majukumu yetu.
Ntamamiro (Bwana Jela): nimeleta mimi kwa niaba yao.
Adv. Kilatu: Lissu alipeleka orodha ya mawakili wa kumtembelea?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sahihi.
Adv. Kilatu: Kuruhusu watu kumuona sio lazima wawepo kwenye orodha?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Ndio kuna mazingira alikuwa anaomba Lissu mwenyewe.
Adv. Kilatu: Umeyasema mazingira hayo kwenye kiapo chako au kuna siku Lissu aliomba mtu ambae hayupo kwenye orodha ili amuapishe aingie.
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sijasema kwa kiapo changu.
Adv. Kilatu: unajua maana ya retainership ya mawakili kwa mteja uliyoisema kwenye kiapo chako.
Ntamamiro (Bwana Jela): Sijui ila uliza swali tu.
Adv. Kilatu: Basi tutarudi hapo kama hujui.
Soma paragraph nyingine hapo umesema shauri hili lilipaswa kuwa judicial review sio la kikatiba?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sahihi.
Adv. Kilatu: Una uelewa wowote kuhusu Judicial Review?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Sina uelewa wa hili.
Adv. Kilatu: Basi sitakuuliza kwenye hilo nikuache.
Sasa nenda kwenye originating summons soma ibara za Katiba zilizotajwa humo.
Ntamamiro (Bwana Jela) : zipo ibara ya 13 na zingine.
Adv. Kilatu: Asome ibara ya 30 aielewe halafu nimuulize swali.
Jaji: Asome au ajisomee?
Adv. Kilatu: Ajisomeee mwenyewe aelewe halafu nimuulize swali.
Ntamamiro (Bwana Jela) : Tayari
Adv. Kilatu: Je ibara hiyo inasema mtu anaweza kuja kwa judicial review mahakamani kupitia ibara hiyo?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Hapana.
Adv. Kilatu: Soma para 4 ya kiapo chako kuwa ulimkataaa Kisabo kwasababu sio wakili wa Lissu?
Ntamamiro (Bwana Jela): lakini baadae lissu alileta ombi maalamu.
Adv. Kilatu: Sasa muambie Jaji hiyo paragraph nyingine uliyosema kulikuwa na ombi maalumu ni paragraph ya ngapi?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Haipo.
Adv. Kilatu: Sasa ili wakili aingie gerezani ni lazima kuwepo na orodha ya mawakili iliyoandikwa na mfungwa.
Ntamamiro (Bwana Jela): Utaratibu ni kukagua kitambulisho na kumruhusu.
Adv. Kilatu: Sasa kwenye kiapo chako ukimjibu Maduhu unasema kulikuwa hakuna proof of retainership? Hiyo ndio requirement ya sheria?
Ntamamiro (Bwana Jela) : Nafikiri sifahamu.
Adv. Kilatu. Nimemaliza. Mh. Jaji.
Jaji twende mapumnziko kwa nusu saa.
Tukutane hapa baada ya dakika 30.
Naomba Repost yako.