Kama njia moja ya kupunguza mapenzi na mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi mwalimu Racheal kombwa wa shule ya upili ya webuye D.E.B anapendekeza kuondolewa kwa mixed schools nchini na kule Tongaren wazazi nao wanashauriwa wapeleke wanao boarding schools
Wakili Khawar Qureshi aliteuliwa kwa mujibu wa sheria, Mahakama yaamua.
Qureshi sasa ataongoza kesi inayomkabili Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu @westtv_kenya