@MagdalenaJ81011 π Kumbusu Mdomoni Mtoto Wa Kiume au Wa Kiume Sio Sawa Badala Yake Unaweza Kumbusu Shavu Ama Paji la Uso Napo kuna Umri Akifika Hupaswi tena kufanya Mambo hayo.
Huyu chalii miaka kama 3 iliyopita alikuja ofisin akiwa anauza sox, nikamuuliza kwanini unauza sox muda ambao ilitakiwa uwepo shuleni?
Akanijibu mama ake amelala nyumbani na anaumwa sana kiasi ambacho kimemfanya auze sox ili angalau akanunue panaldo za mamake.
Akaniambia baba
@Daktariwawatoto Hendo hii Hapa Nifollow @misholiD Kisha nenda Kwenye Account yangu Post ya Mwisho Kuna Uzi π§΅πͺ‘Mmoja Ukiusoma Ipo siku Utakusaidia na Utanikumbuka.π¦π¦π