Tukijuliwa hali na tukasema alhamdulillah haimaanishi kila kitu kiko sawa hapana, bali tunakuwa sawa kwa kile ambacho Mwenyezi Mungu amekikadiria juu yetu kiwe kizuri/kina tuhuzunisha tunaamini ni katika moja ya mitihani yake.
Hakikisha hawakufanyi Pumziko lao pindi wanapo choshwa na Watu walio wachagua.
Usiwe Mtu wa Akiba ya hisia kwa Mtu mwingine,Thamini Muda na Nguvu zako kama wao wanavyothamini zao
Weka mipaka,Usikubali kuitwa tu pale wanapohitaji faraja,Jifunze kusema Hapana bila kujisikia vibaya
Sema ukioa familia ya kitajiri kwa asilimia kubwa unaweza kuwa mtumwa ukweni
Ukioa familia yenye kipato cha kuunga Unga na unajiweza kidogo kwa asilimia kubwa utakua tegemezi ukweni, Wanaume tuliumbwa Ili tupate mateso aisee..🙌🏾
Hutaweza kupata muda wa kutosha kufanya kila kitu. Kama tunataka kufaidi maisha zaidi, lazima utenge muda kufanya yale ambayo yana maana zaidi kwako....📌
"KUWA KAMA CHUMVI"
Huenda Usionekane Wa Muhimu Kila Wakati,Lakini Kutokuwepo Kwako Hubadilisha Kila Kitu.
Usijidharau kwasababu tu huonekani sana au hupati sifa nyingi.
Thamani yako inaweza kua iko kwenye vitu vidogo unavyofanya kila siku.
Jua Thamani yako.Linda Amani yako.
Habari mbaya ni kuwa hakuna kinachodumu milele, ambazo ni Habari njema pia.
Hakuna ambacho unapitia kitakachodumu milele, ndio maana unaambiwa ukiwa kwenye sehemu ya Kuenjoi maisha Hakikisha unayafurahia ipasavyo, Fanya unavyo jisikia maana siku Moja utammiss hizo moment na itabaki kumbukumbu vile vile Kwa nyakati mbaya.
Kama vile nyakati nzuri zinavyopita, ndivyo pia nyakati ngumu hupita. Mambo yanapokuwa mazuri, usijizuie kufurahia Kwa kuogopa kesho. Na yanapokuwa magumu, usipoteze matumaini.
Bro nisikilize,
Hii nimeiona kwa macho yangu…
Ukiwa single, unatamani mahusiano
unatamani mtu wa kushare nae Maisha
Lakini ukiingia kwenye mahusiano,
utaanza kutamani uhuru wako
utaanza kutamani muda wako binafsi
utaanza kukumbuka maisha ya zamani
Kuwa makini , usikurupuke.
Mwanamke asipokubali kufanya mapenzi na wewe pamoja na kumtumia hela na kumjali,
Basi huyo sio mwanamke wako,
Asipokubali kutii matakwa yako, hawezi kukuona wewe kama mwanaume wake,
Na kama hakupi wewe, basi kuna mwanaume sehemu hatumi hela na anapewa bila ata kuiomba..