UFIPA walijimilikisha huu mtandao wakiamini wana nguvu na kutukana kila mtu ambae hayupo upande wao,kutokana na mazuri ambayo serikali imefanya na jitihada za wazalendo kueneza ukweli wa mambo hatimae UFIPA wamepoteana wamelowa sasa tunawatafuta kwa tochi #SIASA NI SAYANSI โ๐ป
Mh:Hussein Mohamed Bashe.
Nimefanya kazi ktk sekta ya kilimo kwa zaidi ya muongo mmoja na nimeshuhudia mawaziri wengi katika wizara ya kilimo ndio maana nina ujasiri wa kusema mapinduzi aliyo yafanya Mh:Bashe ni makubwa sana hakuna mfano wake,tunamkumbuka na tunamuombea kheri ๐๐ป
Kumbe niliwaza sawa na Comrade wetu sasa kesho kazi ianze mimi nitakuwa wakwanza kufika kwenye kituo changu cha kupiga kura na challenge yetu imekuwa verified ๐๐ป
@MkindiStan@DullahWrites@Sativa255 Huna akili kabisa kumbe!!! Serikali inashauliwa kwa kutoa waraka na kuagiza usomwe kwenye makanisa yao yote nchini ? Na kama ishu haipo kidini mbona Mbowe alikaa jela zaidi ya siku 90 kwa tuhuma za ugaidi hawakusema chochote ? Si kwakuwa Mbowe ni Mrutheri au nayo inahitaji Phd ?
@Sativa255 Mbona waraka wao wa DP WORLD ulipuuzwa walifanya nini ? Hawana mamlaka yoyote kuizid serikali ndiomana hata taasisi zao wanaenda kuomba vibali kwa serikali kwahiyo ni mtu mjinga tu ndie anaweza kufikiri kuwa TEC wanaweza kuzuia uchaguzi
@DullahWrites@Sativa255 Mbona waraka wao wa DP WORLD ulipuuzwa walifanya nini ? Hawana mamlaka yoyote kuizid serikali ndiomana hata taasisi zao wanaenda kuomba vibali kwa serikali kwahiyo ni mtu mjinga tu ndie anaweza kufikiri kuwa TEC wanaweza kuzuia uchaguzi
Kuna muda ukimskiliza Dr. Slaa na kumsoma katika kitabu chake kuna mambo kadhaa anayarudia sana.
1. Kwamba ndani ya CHADEMA kuna ugaidi na vikundi vya kigaidi.
2. Chadema wako radhi kufanya jambo lolote hata kuweka agano na shetani ili waingie madarakani.
Mambo ya aina hii ukiyaskiiza na kuyasoma toka kwa mtu ambae amekua Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Mgombea Urais wa CDM yanaweza fanya usipuuzie kauli ya Amos Makalla.
@TKulikiza1272@Omary_Mtambo@HusseinBashe@SuluhuSamia Kwa hoja za Mtambo ni kweli haijapata kutokea vitu alivyosema hatukuwahi kuvisikia kabla kwahiyo na nyie mshukuru kwa iyo miradi yenu mliyojengewa usimamizi kuwa mdogo ni wasaidizi wake tusiache kumshukuru waziri hawezi kufika kila kijiji nchi kubwa labda apokee kama changamoto
@bizy94 Kawawa yule was magomeni mwembe chain ndio aliuza meli au kuna Kawawa wengine mana mzee was watu maisha yake ni kama ya Nyerere tu sio ya MTU mwenye ela labda kama umelishwa sumu kama mambo ya Amin mla nyama za watu
Wanaharakati wa Tz wako na akili za samaki sana, wanasema Mkapa ni Rais bora kuwahi kutokea Tanzania kisa alikua akihutubia Taifa kila mwisho wa mwezi, hivyo kumemfanya awe ni Rais bora
Kwani Mkapa kwenye kitabu chake alikiri mauwaji ya watu wangapi 2001?
Tunauliza