@kigogo2014 Tusubiri muda ndg zangu tufanye maamuzi yenye tija mimi nimkereketwa pia
Kama hawa watu hawataondolewa basi tunahitaj wapigania haki wapya au chama kipya tusubiri kauli ya kamati kuu ijumaa kuona muelekeo wa hiki chama
Ili mtu ateuliwe kuwa Mbunge V.Maalum anatakiwa kujaza fomu za NEC namba 8D ambazo sehemu C Inatakiwa kujazwa na Katibu Mkuu wa Chama, na kiapo mbele ya Hakimu. NEC imepokea hizo fomu? Nani alizijaza?Nusrat alizijazia magereza?Hakimu gani alimuapisha?
@HildaNewton21 Sister huu nimpango mkakat wa kuiua chadema(upinzani ) haya yanayoendelea ni baadhi ya mambo yaliyokwisha kuratibiwa sasa hili jambo kama viongoz hawatachukua hatua madhubuti litaleta mpasuko mkubwa na hatimaye kukimaliza chama
naiona act wazalendo kama chama kikuu cha upnzan nxt