SSC FAN๐, ManU fan๐
Official_Lawyer
No one is more hated than he who speaks the truth.
SAUT Alumni ๐
GOD over everything๐ช
๐๐๐ฐ
Pisces๐๐
I came from a poor family, old house, local town with sad stories. Am hustling not to impress or be in a competition with anyone. No, I just want to change the whole story. God be with me. I humbly pray and submit๐๐๐๐๐๐
Msikilizeni @Mwabuk2Boniface anaeleza kwa nini #KatibaMpya muhimu kuhakikisha kuna utawala wa sheria
Ila huu mfano wa mtu mwenye mwili mkubwa na akili mbovu ๐๐
Sasa tusikie mawakili mnatendea jamii nzima haki ๐๐ฝ
#VoteForMwabukusi โ
โผ๏ธTumepigwa ๐ญ
Angalieni Mkataba wa kiserikali wa waarabu na Uingereza
๐๐ฝ Ni mkataba na serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu ( UAE) siyo Dubai
Kumbukeni hili ni suala moja wamehoji mawakili
๐๐ฝkuna ibara kuhusu kulipwa fidia kana pande moja ikiathiriwa na pande mwingine
Kwetu tumeambiwa hatuwezi hata kujikuna ๐
๐๐ฝ mkataba umewekewa ukomo wa miaka 10
Ya kwetu eti tumeambiwa mradi utakapoisha ๐
๐๐ฝSahihi ya wawakilishi na hakuna cha mkuu wa nchi wala nani sijui authorisation kama hii ya kwetu hadi Rais kamwaga wino
Yaani huu mkataba wetu umekaa kimchongo kweli ๐คฃ wametudharau sana waarabu!
@SuluhuSamia wamekuingiza kwenye madudu na hili ni lako!
#TutaelewanaTu