Usioneshe furaha yako kwa mwenye huzuni/majonzi,
Usijivunie shibe kwa mwenye njaa,
Usijivunie mali/utajiri kwa masikini,
Usijivunie kuwa na wazazi mbele ya yatima.
Mara zote kuwa mnyenyekevu ili usiwaumize wengine kwa kile ulichojaaliwa kuwa nacho. Uwe na siku njema
@MarekaMalili Enzi za mzee Magu alizuia samaki wenye zaidi ya 10 kg kuvuliwa, nilikuta mmoja jamaa zangu wanaye walitoa Bondo wakaniuzia 18, sitasahau aisee.
@YoungAfricansSC Waandishi wa habari wote wamepigwa knock out na tetesi zao, ila hili jina @AliKamwe njoo huku utusaidie kulitamka aisee ππππππππ