@ayubu_madenge Kijipgraphia Ramani ya dunia imetengenezwa kwa kutumia Mercator projection ambayo yenyewe priority ni kuhakikisha shape na angle ya uso wa ardhi unahifadhiwa haraka sana...Ukubwa wa eneo sio kipaumbele kwa mfumo huo
@Jambotv_ Miundombinu ya mwaka 1960 inatumika kusatisfy demand za 2026 unategemea nini. Turudi kwenye Research zilizofanyika mfn. Fly over ya ubungo ilipunguza foleni kwa kiasi gani, Njia 6 ya morogoro road imepunguza foleni kwa kiasi...Tuache janja janja tujenge miundombinu ya kutosha.
As we celebrate love this Valentineβs Day, we are reminded that God is the author of love. Whether single, dating, or married, the best way to love well is by anchoring our relationships in His wisdom and truth.
#HappyValentinesDay2026