Wamekutana wakali wawili wakatoa ngoma moja kali sana. Tunazungumzia DEKA toka kwa @bill_nass akiwa na Marioo.
Unajua wanamwambia nani adeke sasa?
Dondoka Mkito sasa uchukue ngoma hii fasta hapa: https://t.co/Kutz1rA3VZ
Nyingine mpya toka kwa @africanboyJUX akiwa na @MauaSama ndio hii hapa. Ngoma inaitwa COVID-19.
Unajua Covid imefanyaje sasa? Basi zama hapa kuipata: https://t.co/XmocGbNviF
Je unajua kuwa kusikiliza muziki ni zoezi zuri kwa ubongo wako? Muziki huongeza uwezo wa ubongo kufanya kazi katika mambo mbalimbali.
Usiache kusikiliza muziki kila unapopata nafasi. #MkitoMusicFacts#MkitoAlert#MkitoApp
Mfalme wa melody na mashairi adimu @BarnabaClassic amerudi na ngoma nyingine kali inaitwa MUONGO. Sasa unajua nani muongo?
Tembelea #MkitoApp hapa kuisikiliza: https://t.co/KxQTsttQh8
Na pia unaweza kudownload Muongo hapa: https://t.co/if05h28go8
Kutoka kwa @dicazzi1 mzee wa maajabu ni hit nyingine kwa jina HAKUNA. Kama hujaisikia basi dondoka #MkitoApp sasa usikilize.
Pia unaweza ku'download ngoma hii hapa: https://t.co/2Kvi0sM7VR
Na tunaanza wikiendi namna hii. Changamsha jioni yako na hit toka kwa @TommyFlavour akiwa na King @OfficialAliKiba katika OMUKWANO.
Kuisikiliza tembelea #MkitoApp hapa: https://t.co/S8TY5HlzUA
Kuipakua tembelea hapa: https://t.co/Y3MzI0Phap
Mkito App inakupa uwezo wa kusikiliza ngoma zote kali kwa gharama nafuu zaidi. Ongeza salio katika akaunti yako ya Mkito na uchague kifurushi ukipendacho sasa na furahia ngoma uzipendazo bila kikomo. #MkitoAlert#MkitoApp
Hii ni ngoma flani yenye ujumbe wa muhimu sana kwa jamii toka kwa Adam Mchomvu akiwa na Ibrahnation.
Tembelea Mkito kui'download hapa: https://t.co/A1cTndNkUC
Pia unaweza kuisikiliza We Live Once kupitia #MkitoApp sasa.
Je unajua? Kusikiliza wimbo kwa sauti kubwa huongeza ladha ya wimbo husika. Lakini pia kusikiliza muziki kwa sauti kubwa iliyopitiliza huongeza uwezekano wa kupata uziwi. #MkitoAlert#Tanzania#Kenya#Uganda#Africa
Wanna discover new songs and best playlists? Mkito App lets you discover coolest tunes through its Discover section. Use Mkito App today and discover the best African songs. #MkitoAlert#Tanzania#Africa#StayHome
Mkito App inakuwezesha kujiunga na vifurushi mbalimbali vya muziki bila kikomo kirahisi zaidi. Weka pesa katika akaunti yako ya Mkito kupitia M-Pesa, Tigo Pesa au Paypal kisha jiunge na kifurushi ukitakacho. Furahia muziki mkali bila kikomo toka #MkitoApp sasa. #StayHome