Umeanza na 'vibe' gani wiki hii?
Some new drops just hit our playlist 🎶 🔥
feat. @barcitybaby , @mex_tz@bill_nass na wengine.
🔊 Listen now! https://t.co/f78GPLLOcQ
Watu wanajiita wana Hip Hop, na kila siku wanalalamika Hip Hop haipewi thamani inayostahili,
Leo wanamshangaa @mex_tz kwa kuhitaji 20m kwa 5hrs show, ambayo wajority wanaitaka,
Mex ameshaprove uwezo wake 'Bure' mara nyingi,
Wajitokeze wadhamin wa Show waeke hela.