1. Changamoto za Afya ya Akili: Usumbufu wowote wa kiakili ambao mtu yoyote anaupata baada ya kupitia hali fulani akashindwa kuchakata kichocheo ikaathiri hisia na tabia yake kwa muda fulani tu. Mfano ukidondosha simu, ukiibiwa pesa, ukifiwa.
@hataweweunaweza@mreno255 Sio matatizo Labbda tuwape Changamoto za Afya ya Akiki, maana Ukisema Matatizo tunashondwa kujua umemaanisha Changamoto za AA. au Magojnjwa ya akili Kwa wingi au kwa uchache tuseme hao wanachangamoto ili wawe wagonjwa ni lazima wafanyiwe uchunguzi/tathmini
@nyuki_malkia@NJohntito27785 Hilo ndo jibu la Ndoto yako unakumbushwa kujikumbusha wajibu wako na kwa wengine, kutimiza wajibu na majukumu yako kwako na kwa wengine kutokamilika maana yake bado haujaweka juhudi, Kulia kumeletwa na hofu inayoambatana n Nguvu yako ya Kiroho kupungua Hata Nguo chafu hufuliwa
@TanzaniaOneJezi Huyu Asijumuishe wanaume wote Kutoa hasira zake atukanie mwanaume wake akimaliza alie apunguze machungu akimaliza Aanze kutafuta mtu wa kumtomba basi
@Bilali_alawi@MickyJnr__ Hii Ni Mind game Mzee wamefanya Makusudi kabisa Kuwapoteza watilu Psychologically ila Nimependa Msimamo wa Simba Wamefocus na game ya Mkondo wa Kwanza Hiyo ndo namna nzuri ya Kudeal na Mind game kama hizo
@privaldinho Siyo Baba Mtakatifu Ni PAPA WA KANISA KATOLIKI Baba Mtakatifu Ni Hatua Nyingine Uelewe Mambo vzuri kabla ya Kutoa Kama huyaelewi vzuri kuyanyamazia