🇹🇿 Meanwhile in Tanzania, Clatous Chama just put his name in the ring for the 2026 Puskas award.
The Zambian baller pulled off an absolute MADNESS in the Kariakoo Derby. 🇿🇲😮💨
Oyaa niliiona hii kabla ya huyu jamaa sema nikasema nitaijaribu
Leo kaiongelea nikasema nijaribu.
Oya inafanya kazi 😂😂😂
Haya Tuangalie Movie ya Michael Jackson.
Video kwa Comments 👇
For Clatous Chama’s stunning derby goal, here’s how it can enter the conversation for the FIFA Puskás Award:
• The goal must be scored within FIFA’s eligibility window for the year
• FIFA’s technical panel selects the official shortlist (no public submissions)
• It must meet key standards: spectacular execution, clean build-up (no foul/controversy) and top technical quality
What really helps goals like this go global:
• Strong viral visibility across social media
• Constant sharing and replay value
• Media and commentator attention
• Inclusion in major highlight reels monitored by FIFA
This is where fans come in:
If you believe this goal is special, don’t just watch it once but also share it widely, repost it and tag @FIFA multiple times so it reaches the right eyes.
The more it travels, the bigger the chance it gets noticed.
#NguvuMoja
#Chama
#kariakooDerby
#tanzania
#fifa
#fifamedia
#AfricanFootball
Tundu Lissu Show; The Legal Titan.
Hali ya hewa leo mahakama kuu ilichafuka, asubuhi na mapema, na safari hii si kwa radi ya angani, bali kwa ngurumo za kisheria kutoka kwa gwiji, Tundu Lissu.
Mahakamani kulikuwa na “shule ya bure,” upande wa Jamhuri ukijikuta kwenye wakati mgumu mbele ya gwiji wa sheria. Tulia kidogo nikupe samare na kichapo.
Mahakama ilisheheni kama volcano inayotapika lava na ikatia tuli, watu wanashuhudia mashahidi wa Serikali wakicheza “kichapo” mbele ya fundi wa mitambo.
Tundu Lissu hajaingia mahakamani kwa kubahatisha; ameingia akiwa na darubini ya kisheria inayopasua giza lolote. Amebeba vitabu vya sheria, katiba na PGO.
Mashahidi walioandaliwa na “kufichwa kwenye jeneza”, wamejikuta wakivuliwa sanda mchana kweupe. Kuna mmoja TAL hadi akatambua kabila lake, kalitaja.
Aliwasha tochi ya 100watts kwenye “jeneza”. Kila shahidi aliyekuja na hadithi, TAL amemkagua kuanzia uti wa mgongo wa ushahidi wake mpaka kwenye kucha.
TAL alikuwa akitupa maswali kama mshale wa sumu—ukijibu unajichoma, ukikaa kimya unajisulubu. Ukisimama nchale, ukikaa nchale. Chagua moja.
Kila hoja aliyopiga shahidi, TAL ameipokea kwa kifua na kuirudisha kama kombora la masafa marefu, likiacha upande wa mashtaka ukiwa umeduwaa macho wazi.
TAL anakuacha uongee, unajiona mjanja unajaza kurasa, halafu anakuuliza swali la kiufundi, ghorofa lako la uongo linapata mtetemeko wa ardhi na kuporomoka.
Mashahidi waliodhani wamejificha kwenye kijeneza, wamejikuta wakitolewa nishai kwa (cross-examination) wakasahau wameletwa siku gani Dar Es Salaam.
Wale waliojificha wakidhani wako salama, wamejikuta wakitolewa. Tundu Lissu anapiga kotokoto ya kisheria mpaka shahidi anatamani ardhi ipasuke amezee.
Tundu Lissu hajawashona tu mashahidi, amewatengenezea “suti ya chuma” ambayo haina tundu la kupumulia. Watachagua wenyewe sehemu ya hewa.
Amewatazama usoni na kuwatandika maswali ya mfululizo (rapid fire) wakajikuta wanasema “Ndiyo” mahali ambapo walitakiwa kusema “Hapana.”
Amewachana kwa kuonyesha kuwa maelezo ya ushahidi wao waliyotoa wakiwa polisi na maelezo wanayotoa wakwia mahakamani ni kama mbingu na ardhi.
Jamhuri walianza kwa mbwembwe, lakini baadae kila wakimwangalia TAL wanajisikia kama wako mbele ya mwalimu mkuu mwenye rula ya chuma mkononi.
Tundu A.M Lissu amewashona ipasavyo mashahidi wa Jamhuri kwa “shati la mbao” bila kutumia uzi, akitumia vifungu vya sheria vinavyouma kuliko pilipili kichaa.
Mwisho wa siku, lile jeneza la ushahidi wa Serikali ambalo lilidhaniwa kuwa ni “falsafa isiyotingisika,” limebaki kuwa box la kiberiti lililoingia maji.
Tundu Lissu amegonga kila msumari uliokuwa unashikilia jeneza la mashahidi, amepasua na kuacha kila kitu kikiwa wazi huku upepo wa haki ukipuliza ndani yake.
Kesi imeahirishwa, mwangwi wa hoja za TAL bado unatingisha kuta za mahakama. Mashahidi wamechoka, TAL, akitabasamu akisema: “Hii ni round ya kwanza tu!”
Sheria siyo lelemama, na Tundu Lissu ameithibitisha leo kuwa ukiingia uwanjani bila jezi, utacheza uchi!.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
How on earth is this not a penalty? Why does bad officiating always happen in Morocco games? 👀😳
AFCON are clearly trying everything to hand the trophy to the host nation. Unbelievable and pathetic.