.. Mambo muhimu kwenye Maisha; PENDA, SAMEHE, Fanya IBADA na usilazimishe KUPENDWA.. Zaidi ya yote, Usibebe MIZIGO (kama una jambo Moyoni litoe/Omba Ushauri then tatua). Na cha Mno, Usiigize kwamba 'UNA FURAHA' wakati haupo SAWA.!
#MaktabaYaMkutubi
.. Is it just me, or has the new iOS become unnecessarily complicated? Too many animations, too much gloss. It feels more cartoonish than intuitive. #IphoneiOs#NewiOS
Episodi ya 3 NAFASI YA VIJANA KWENYE SIASA
Vijana ni nguvu kazi ya taifa na uti wa mgongo wa mabadiliko ya kisiasa. Nafasi yao kwenye siasa si ya kupigiwa debe bali ya kushiriki, kuamua na kusimamia mustakabali wa nchi. Tukiwapa vijana nafasi, tunajenga uongozi wenye maono, uwajibikaji na maendeleo ya kudumu kwa kizazi cha sasa na kijacho. Sasa ipo hewani Tazama kupitia YouTube yetu ๐https://t.co/y4A0CkQp7i
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
Episodi ya 3 SIASA NA AMANI
Tuendelee kuwa taifa lenye misimamo ya hekima. Tuchague kuunganisha, si kugawa. Tuchague kusikiliza, si kushambulia. Tuchague kuhimiza amani, si kuchochea migogoro. Tazama kupitia YouTube yetu. ๐https://t.co/y4A0CkQp7i
#SiasaZetu#SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
Episodi ya 3 SIASA NA AMANI
Amani ni msingi wa maendeleo; bila utulivu hakuna uchumi unaokua, hakuna ndoto zinazotimia, na hakuna taifa linalosonga mbele. Tuilinde amani yetu kwa maneno, matendo na umoja. Tazama kupitia YouTube yetu ๐https://t.co/y4A0CkQp7i
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
Episodi ya 1 SIASA NA RUSHWA SASA IPO HEWANI , Uongozi wa kweli haujengwi kwa rushwa, bali kwa misingi ya uadilifu, uwajibikaji na upendo kwa wananchi. Tukikataa rushwa, tunalinda heshima ya Taifa na mustakabali wa vizazi vijavyo.Tazama kupitia YouTube yetu. ๐. https://t.co/4WApnqwFnX
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
Siasa Zetu Podcast inazidi kukua na kubadilika tukitambulisha sauti mpya yenye upeo mpana wa fikra, uchambuzi wa kina na mitazamo mipya kuhusu siasa na jamii.
#SiasaZetu#SiasaNiWananchi#SiasaNiMaendeleo
Siasa Zetu Podcast inazidi kukua na kubadilika tukitambulisha sauti mpya yenye upeo mpana wa fikra, uchambuzi wa kina na mitazamo mipya kuhusu siasa na jamii.
#SiasaZetu#SiasaNiWananchi#SiasaNiMaendeleo
Umewahi kusikia watu wakisema,
NANUKUU ๐ฃ๏ธ yapo matendo maovo hufanywa na taasisi za gavoo na ni maagizo kutoka juu.
Lakini uhalisia ni kuwa sio maagizo kutoka juu, ni hizo taasisi tu hufanya hayo kwa maslahi yao binafsi, na hata mkuu wa nchi hajaagiza!!๐ค mwisho wa kunukuu!!
Hii debate inakuwaga inachanganya sana!!
Swali langu ni je kama kweli hawaagizi wao, kwanini wakisikia yanatokea wanakaa kimya hawakemei? kutokemea means umeyabless yatokee!!
Au wanaongea lakini wanaisifu hiyo taasisi inayonyooshewa kidole kuhusika, means ana wa-endorse.๐ค
Hebu Ukipata time tazama hii interview ya #PascalMayala na #StanslausLambart akielezea side effect za lile swali alilomuuliza Rais Magufuli miaka ile!!
LINK ๐๐ป
https://t.co/3UOawz5S5E
โฆ Wabunge wa Viti Maalum - Mbeya wakiombana MSAMAHA.!
Mmoja ni Eng. Maryprisca Mahundi (Naibu Waziri - Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) na Mhe. Suma Fyandomo.! #TukutaneOktoba
โฆ Unaona hiyo njaa unayohisi wakati huu wa Mfungo? Basi, kuna wengine hayo ndiyo maisha yao. Na mbaya zaidi wao hawana matumaini ya watakula nini na saa ngapi.!
CCM wanakutana, wanaweza kubadili upepo wa SIASA. Pengine Nchimbi akakabidhi Ukatibu Mkuu, Makalla akawa Naibu KM,Na sura mpya zikaingia.
KM ndiye Mratibu Mkuu wa Uchaguz Chamani, Mgombea Mwenza kuendelea kuwa KM mpk Uchaguz Mkuu inaweza kuathiri Uteuzi wa Wagombea ndani ya CCM