"Tunaendelea pale ambapo tuliishia lakini tunafanya kwa ukubwa zaidi sababu mechi hii ya Jumamosi ni ya tofauti sana. Ni mechi ambayo itatupeleka robo fainali, ni mechi ambayo inatufanya tuanze kutimiza malengo yetu ya kufika robo na kwenda mbele zaidi."- Ahmed Ally. #NguvuMoja