Taarifa zisizo Rasmi, zinasema kuwa..
Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori mawili kutoka Rwanda...
Malori hayo yalikuwa yanaendesha vibaya hivyo derva akasimamisha gari kwa kutaka kuongea nao, ambapo walimpiga na kumuua..
Video kwa Comments👇🏾
“” PATA ZAIDI 5 MILLION PROFIT KWA BIASHARA HII”” 🙏🙏
“”BOOKMARK 🔖. LIKE 👍. REPOST. COMMENT “”
Biashara hii ya mchele ndiko pesa iliko jifucha. Kwa watu wa dar hiii fursa iangalie kwa jicho la tatu
Down ni uchambuzi wa kupata mzigo wa mchele pamoja na garama zake kutokana na grade unayo taka ad una fika Dar pamoja na faida ambayo una weza pata
Take your time ujifunze kitu
MCHELE WA MPANDA. KAHAMA. MAGUGU. SUMBAWANGA NA VIJIJI VYA JIRANI.
Price ya mchele wa izo sehemu
1. 1400
2. 1500
3. 1600
4. 1700
5. 1800
6. 1900
Izo ni garama za mchele uliopo machineni na usha koborewa kabisa. Ila izo garama ni kwa mchele ambao bado auja ondorewa chenga. Ila mchele wa 1700 na 1800. Huuu una kua msafi sanaa aina aja ya kuondoa chenga una weza peleka sokon moja kwa moja. Ingawa ata uo wa below 1700. Una weza peleka sokoni ina tegemea ww na wateja wako
Bei izo sio permanent. Ila apo mchele au wez panda zaid ya apo na kuna kipindi bei ina kua chini ya apo
1. 1200
2. 1300
3. 1400
4. 1500
5. 1600
Na kuna kipindi huwa una shuka zaid ya apo
GALAMA ZA VIBARI
Vibari vya serikali sio garama kubwa sanaaa. Ila kwa kila Gunia la kilo 100 una weza lipia 1000 adi 2000. Kama ume utoa bushi kuja mjini. Ila kama ume utoa pale pale mjini bas Hauta lipia izo garama za 1000 ad 2000
Ila lazma ukate vibari vya serikali kama leseni ya biashara ad kwa mwana sheria ina weza garimu like 70k iv na kama unayo reseni bas ina weza garimu like 30k.
GARAMA ZA USAFILI
kupat Gari kutoka mpanda mpaka Dar zpo ila iwe private means uwe na mzigo wa Tone 18 ad 22. Ndio una weza pata gari kwa alaka zaid cos una kua ume kodi private na garma yake ni 2m ad 3m ita depend n dalali ulie mpata
So kama uki kodi gari moja kwa moja garama ita kua mdogo sanaa.
Let say ume chukua tone 20 = 200 gunia za 100 kilogram
Usafili cost ni 2.5m. Divided by 20tone which is equal to 200gunia of 100kilogram each. Which is 20000 kilogram
It will cost 12500 per 1gunia of 100kilogram which means in any 1 kilogram is cost 125 tshling
So kama ilichukua mchele wa
1. 1400 +125 =1525
2. 1500 +125 =1625
3. 1600 +125 =1725
4. 1700 +125 =1825
5. 1800 +125 =1925
So garama za usafili zina weza kua apo per kilogrum
EXTRA COST
Katika hii kazi huwezi fanya kwa siku moja lazma ita take time na mda wa siku nyingi kuifanya so apo kuna garama za vitu vidg vidg lazma pia upigie hesabu
Extra
1. Mfuko
2. vibega (in and out)
3. kushona
4. kupaka mafuta
5. chakula
6. hoteli
7. usafili
8. delay
9. research
10. wasaidizi
11. dalali
12. etc
Izi garama zina weza kua nyingi mno ina futana na ww na watu ut kutana nao na mpango ulio weka.
Note 📝
UBAHALI LAZMA
SO
Katika extra cost apo tuta ashume kila kilo ime kua added value ya 50tshilling so tuta add 50 T shilling to value ya mchele per kilo ili tuweze pata total amount na iludishe faida yetu
Let say
Extra cost per kilo is 50 t shilling
Value of Mchle per kilo is 1.1400
2. 1500
3. 1600
4. 1700
Transport is 125 per kilogram
Add all value
1. 1400 + 125 + 50 = 1575
2. 1500 + 125 + 50 =1675
3. 1600 + 125 + 50 =1775
4. 1700 + 125 + 50 = 1875
5. 1800 + 125 + 50 = 1985
6. etc (either low or above )
SOKON
Kuus sokon ww ndo uta jua uuze shingap na upate faida ya shingap na una wauzia wakina nani
But let calculate assumptions of profit
Let say mchele ume fika kwa apa Dar kwa input ya 1875 t shillings
Then na ww uka amua kuuza kwa 2200 per kilogrma
So apo profit 325 per kilogram
So will be
If 1kg = 325 profit
20000kg = ?
I think i try to analyze bro 😎
Jinsi ya Kujua Kama Gari Inadaiwa [Fine za Barabarani]..
.
Sometime inatokea umemuazima mtu gari anavunja sheria anapigwa fine then hakuambii..
.
Sasa anarudisha gari na wewe unatembea na lile deni Linakua kubwa bila kujua..
.
Inatokea siku wanakudaka na hauna kitu mfukoni..
🚨Top Ten ya Gari ndogo za Toyota zinazotumia mafuta kidogo [Best Fuel Economy]..
.
Kumekua na swali common sana ambalo mara kwa mara napigiwa simu na wadau wakiuliza..
.
Utasikia Ebana Chief hivi naweza pata gari gani ndogo ambayo haili mafuta na ni rahisi kuimaintain..