@meamswahili@Thereal_taivina@Sativa255 SIJUI NI LINI NA MIMI NIMFANYIE MAMA ANGU JOSEPHINE kitu kama hiki
EEEE Mwenyezi Mungu fanya wepesi mama angu aishi kwa raha one-day ππππππππππππππππππππππππ
@Mwinshehe07 Wachezaji wanaogopa kuumia maana akiumia huwa wanajitibisha wao Au club yake hili ni tatizo mchezaji hajitumi ebu fikilia wachezaji wanavyojituma kwenye club zao lakini kwenye Taifa ni nothing hata kina Samatta tutawalaumu Bure