Kufunga kwa Muislam kunahusiana vipi na kula kwa mkristo?π€
Kwa lugha nyepesi, kwa nini imani ya Muislam inilazimishe mimi kuishi kwa taratibu za Kiislam ingali ni Mkristo?π€
Kwa nini kila mmoja asiishi imani yake bila kumlazimisha mwingine?π€
KWANINI TIKTOK NI APP YA KULEVYA?
Agiza Popcorn πΏ kabisa kisha shuka nayo π§΅
Unapofungua TikTok unaamini wewe ndiye umeamua. Swipe ni yako, macho ni yako, muda ni wako. Lakini ukweli mchungu ni huu: kila sekunde unayokaa ONLINE, kuna mashine inakufanyia maamuzi kimya kimya.
Unaweza kuiskiliza na kuitazama story yote kupitia YouTube channel ya Madinidotcom. Nimekuwekea link ya hii story hapa hapa chini π
https://t.co/P3MsJt8XVx
https://t.co/P3MsJt8XVx
Watu watakuja na kuondoka maishani mwako, lakini mtu unayemuona kwenye kioo unapojitazama atakuwepo siku zote na wewe. Mtendee huyo mtu wema. Mpende huyo mtu.
Haijaisha mpaka MUNGU aseme imeisha. Mungu anaona mapambano na jitihada zako, yeye ataondoa milima inayokuzuia, watu wasio sahihi, atavunja vikwazo na yote yanayokukwamisha kisha atakufungulia milango ya fursa ambayo hakuna binadamu yoyote yule atakaye weza kuifunga.
Ee mwenyezi MUNGU nijalie enyenyekuvu nisipandishe mabega juu na kujiona nina hekima na uwezo kuliko wengine. Niepushe katika kuzama kwenye bahari ya Kiburi na kunywa maji ya Majivuno. Komesha kabisa ndani mwangu roho ya kujiona ninastahili zaidi ya wengine wote.
Nilikua naionaga hii feature kwenye series za kikorea tu!
Mtu anatoka anaacha simu yake mlipo kumbe anawasikiliza akiwa na earpods zake kwa chumba kingine.
Leo nimeitest!πββοΈ
Nilichokuja kusikia, πββοΈπββοΈπ
Video kwa Comments π
Msanii wa KENYA ametoa wimbo wa kumchana IDI AMIN MAMA.
"Hutaki tuwe na marafiki wabongo?"
This song deserve thousands of reposts from EAST AFRICA.
TUTAKUWEPOπ«΅π