Tarehe 19.5.2025 TUKUTANE KISUTU.
Mahakama imeruhusu WANANCHI kufika kufuatilia kesi ya UHAINI inayomkabili MH. Tundu Lissu.
Tukutane hapo wote kwa wingi wetu bila KUCHOKA.
Naomba REPOST 200.
#FreeTunduLissu#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@Petermsaki941 Mm nafikiri alijiua ili kukwepa aibu kwa jamii inayomzunguka pamoja na aibu kwa Mchungaji wake masanja unajua nahisi hili suala lilisanuka ndio maana mama mchungaji na mama mwingine wakaenda nyumbani kwa katibu kumueleza huenda masanja alifuma sms tena iliyoandikwa mambo mazito
#Inshort: Huyo ndio Kanali Mamady Doumbouya aliyepindua nchi.
Nitamalizia mwishoni kumuelezea
📡 Utajiri wake
📡Familia yake na
📡Mengine kumhusu. Hebu kwanza tuangalie jinsi alivyompindua rais.
Mnisamehe🙏 nimeenda slow kutokana na network.
Endelea RT🔄 nifollow @Eng_Matarra
Kesho Lazima iishe
📋Mamady Doumbouya ni nani?
📋Anayo pesa ndefu, ametoa wapi?
📋Ulinzi wa ikulu
📋Kanalo Doumbouya alichora vp plan kumpimdua rahisi
📋Wanajeshi 500 walivyodhibiti jeshi la watu 4,210
📋Full Operation
IKIWA unathamini nachokifanya
RT🔄 Follow me @Eng_Matarra