TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...
@BMatungwa @godbless_lema Kwanza jifunze SGR ni nini then utamuelewa Mh Lema alichomaanisha kuhusu huyo muandishi wako!ni mfano na kusema Barabara imeacha njia na kutoka kwenye road?
@Eric__Bernard Punguzeni ushabiki wakijinga mazee..so what yani ?inamsaidia nn mwananchi mwenye shida ya kupata maji kwenye mji wake?hizi gharama si bora muwarahisishie raia huduma za kijamii!