Back in high school,kulikuwa na fala wako fulani ambaye ukiskia jina yake kwa ngori yeyote be it noise making,bullying,coming late,mothertongue speaking..you just know very well that your name is also in that bracket😂whether you were present or absent😂with all due respect😇
Hakuna kitu hutuliza madem kama pregnancy,utamkuta tu kwao akifanya kazi kama maid na sweater oversize,crocks,matuta kwa kichwa na kinyasa ya Man U😇fere hambol🛀